Rama S. Msangi

  • Home
  • Rama S. Msangi

Rama S. Msangi Senior Road Safety Ambassador | Creative Designer | Story Teller | Journalist | Public Speaker ...

Nakupenda ukiwa mbaliK**a nilivyokupenda ukiwa karibuKeep resting in peace mdogo wangu Najma Jumaa Ukikutana na kaka Lou...
17/07/2025

Nakupenda ukiwa mbali
K**a nilivyokupenda ukiwa karibu
Keep resting in peace mdogo wangu Najma Jumaa
Ukikutana na kaka Louie Kifanga,
mwambie tunawakumbuka sana

04/05/2025
Kutoka Kijiwe cha Kahawa Leo HiiUsipoelewa ndio umeelewa
01/05/2025

Kutoka Kijiwe cha Kahawa Leo Hii
Usipoelewa ndio umeelewa

If you followI follow backYou understand better when you don't understand
30/04/2025

If you follow
I follow back

You understand better when you don't understand

28/04/2025

Buriani Papa FrancisBuriani Papa uliyetaka kuleta mageuzi katika mwenendo wa kanisa, ingawa mambo mengine yalikuwa ya kw...
21/04/2025

Buriani Papa Francis
Buriani Papa uliyetaka kuleta mageuzi katika mwenendo wa kanisa, ingawa mambo mengine yalikuwa ya kwenda kinyume na tamaduni za msingi za uumbwaji wa mwanadamu

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88. Vatican imethibitisha kifo cha kiongozo huyo wa kanisa amba…

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, mzee Hashim Lundenga afariki dunia
19/04/2025

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, mzee Hashim Lundenga afariki dunia

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule – Tegeta, Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bos…

CHADEMA waeleza aliko mwenyekiti Tundu Lissu na kuomba watu wakamtembelee
19/04/2025

CHADEMA waeleza aliko mwenyekiti Tundu Lissu na kuomba watu wakamtembelee

Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), umewatoa hofu wanachama wake na wananchi kwa ujumla kuhusu hali ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antipas Lissu, ukisema yuko salama. Taari…

Vyombo vya moto vinavyozidi kumaliza nguvu kazi ya nchi na kuacha vilio na simanzi kwa jamii
19/04/2025

Vyombo vya moto vinavyozidi kumaliza nguvu kazi ya nchi na kuacha vilio na simanzi kwa jamii

Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya …

LATRA yakutanisha wadau kujadili ripoti za ajali za barabarani
18/04/2025

LATRA yakutanisha wadau kujadili ripoti za ajali za barabarani

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), taendelea kuweka kipaumbele katika kufanya uchunguzi wa ajali za barabarani ili kubaini visababishi vya ajali hizo hatua ambayo itasaidia juhudi za maml…

 Hatua ya kwanza ya mkandarasi kusaini mkataba imeshapita na sasa mkandarasi anajiandaa kuingia saiti ambapo ameanza kwa...
18/04/2025



Hatua ya kwanza ya mkandarasi kusaini mkataba imeshapita na sasa mkandarasi anajiandaa kuingia saiti ambapo ameanza kwa kujenga makazi ya kuhifadhia vifaa katika kipindi chote cha ujenzi

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewatoa hofu wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na hali ya usalama katika mkoa huo huku akisisitiza kwamba hakuna mtu atakaeweza kuvuruga ama…

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rama S. Msangi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rama S. Msangi:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share