AFYA NA Maisha Bora

AFYA NA Maisha Bora Maarifa ni Bora kuliko fedha na hekima kuliko dhahabu.ukurasa huu unakupa nafasi ya kupata vitabu.

02/03/2024
Yesu kristo daima alifundisha kwa mifano na pasipo mifano hakunena jambo. kweli za thamani zenye kuleta wokovu na tumain...
01/02/2024

Yesu kristo daima alifundisha kwa mifano na pasipo mifano hakunena jambo. kweli za thamani zenye kuleta wokovu na tumaini kwa mwanadamu ziliwasilishwa kwa mifano kiasi kwamba hata yule mwenye uwezo mdogo tu angeweza kunufaika na fundisho lilofundishwa.
Kitabu hiki kinakupatia nafasi ya kufahamu kwa kina maana za mifano aliyofundisha Yesu . Uzima wako na hatima yako ya milele hutegemea kuelewa na kufanyia kazi maishani mifano hiyo.
Wahi sasa πŸƒπŸƒπŸƒpata nakala hii !!
kwa mawasiliano - +255753505485; Whatsapp + 255753505485.

Kila kipindi cha ukuaji wa mtoto huambatana na mabadiliko ya kimwili na kisaikolojia yaani kiakili pia namna ambavyo mto...
01/02/2024

Kila kipindi cha ukuaji wa mtoto huambatana na mabadiliko ya kimwili na kisaikolojia yaani kiakili pia namna ambavyo mtoto huijumuika na jamii yake familia. vijana wadogo kuanzia umri wa miaka 10-22 huwa na mitazamo tofauti na mabadiliko ya kimwili, baadhi mabadiliko hayo huwa ni mapya hata kwa vijana wao wenyewe na ndiyo kipindi wanachohitaji uangalizi na ushauri kutoka kwa mtu mwenye upendo wa kweli juu yao na wenye kumuwazia mema.
Elimu ya ujinsia na masuala ya ngono ni muhimu kutolewa katika namna itakayo msaidia kijana ili asije akatengeneza tabia hatarishi.
Kitabu hiki ni rasilimali makini kwa kila mzazi anayempenda mtoto wake kwelikweli pia ni rasilmali bora kwa kijana ili aweze kujitambua.
kwa mawasiliano - +255753505485; Whatsapp + 255753505485.
Usikose nakala hiiπŸ˜ƒ

Kitabu hiki ufunguo wa ndoa, kinamfaa mtu ambaye anatamani kuingia katika ndoa na yule ambaye tayari yupo katika ndoa.ki...
01/02/2024

Kitabu hiki ufunguo wa ndoa, kinamfaa mtu ambaye anatamani kuingia katika ndoa na yule ambaye tayari yupo katika ndoa.
kitabu hiki kinakueleza namna ya kuchagua mwenzi wa maisha, nafasi na wajibu wa mume, nafasi na wajibu wa mwanamke katika ndoa, pia kinakupatia siri ya kuishi katika ndoa pasipo talaka.
kinakufahamisha mahusiano yaliyopo kati ya uchumi na ndoa.
Hakika katika kizazi hiki ambapo kumekuwa na wimbi la kubwa la kuvunjika kwa ndoa ikikadiriwa kwamba kati ya ndoa 10 zilizofungwa ni ndoa 2 tu hudumu kuendelea, Kitabu hiki ufunguo wa ndoa Kinathibitika kuwa msaada mkubwa.
Usipitwe na nakala hiiπŸƒπŸƒπŸƒ

Je unaichunguza Biblia yako k**a mtu anayetafuta hazini iliyositirika ? wasomaji wa juu juu tu wa Biblia hawataweza kuon...
01/02/2024

Je unaichunguza Biblia yako k**a mtu anayetafuta hazini iliyositirika ? wasomaji wa juu juu tu wa Biblia hawataweza kuona kweli za thamani zilizomo kwenye Biblia.
Kitabu hiki kinakupa mambo ya kina kuanzia kitabu cha mwanzo katika Biblia kikianza na mtu wa kwanza kabisa kuwepo duniani yaani ADAMU mpaka mfalme wa pili wa Israel, taifa takatifu - mfalme Daudi.
Masomo ya kiroho yenye nguvu za kubadilisha maisha yanapatikana ndani ya kitabu hiki.
Usipitwe pata nakala yako sasa!!! πŸƒπŸƒπŸƒ
kwa mawasiliano - +255753505485; Whatsapp + 255753505485.

25/01/2024

Tazama video hii...

Address

Usa River

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NA Maisha Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share