20/12/2021
Katika Msimu huu wa Christmas 🎄 na Mwaka Mpya 💫 House of Prayers wamekuandalia ZAWADI 🎁 FUNGA MWAKA. 25/12 ni Ibada ya Urejesho wa Hatima yako. 31/12 ni Mkesha wa Kuvuka Mwaka 2021 na 01/01/2022 ni Sherehe ya Kumshukuru Mungu itakayoongozwa na Mhubiri Bathomayo Sindano Sakwa. Kanisa linapatikana Chanika - Lubakaya, Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa.