Zanzibar Leaks

Zanzibar Leaks Mwanga wa Visiwani. Ya Zanzibar. Kwa Mzanzibari.

12/07/2024

Shirikisha

10/07/2024

ZSSF imekuwa shamba la bibi la bwanamdogo.Jasho la wafanyakazi Zanzibar linachezewa bila huruma!

09/07/2024

✍🏽 Kombora jengine kutoka kwa Jussa.

Maigizo Ikulu Zanzibar ikihaha kutokana na ufisadi mkubwa unaoendelea chini ya uongozi wa Mwinyi.Sasa hivi mnataka kufan...
05/07/2024

Maigizo Ikulu Zanzibar ikihaha kutokana na ufisadi mkubwa unaoendelea chini ya uongozi wa Mwinyi.Sasa hivi mnataka kufanya press mnaomba maswali yote kabla ili mje kufanya magizo?

Mtawala hataki kuambiwa ukweli
04/07/2024

Mtawala hataki kuambiwa ukweli

ILI KUNUSURU ZANZIBAR NA TISHIO LA KUVUNJIKA KWA AMANI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA, VYOMBO VIMESHAURI MWINYI APUMZIS...
04/07/2024

ILI KUNUSURU ZANZIBAR NA TISHIO LA KUVUNJIKA KWA AMANI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA, VYOMBO VIMESHAURI MWINYI APUMZISHWE.WIZI ANAOFANYA KWA KASI KUBWA NI KUTOKANA NA UKWELI KWAMBA HIZI TAARIFA SASA ANAZIJUWA!CCM ZANZIBAR WAMESHAMPA KWAHERI, AKIWA NA TUKIO INABIDI KUKODI WATU TOKA BARA!

29/06/2024

Chawa wa Mtalii ana hoja πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ

28/06/2024

Ukiona watu hata majukumu yao hawayafahamu kwa uzuri juwa washachanganyikiwa!Huwezi kujimilikisha ardhi ya makaburi ukabaki salama.

28/06/2024

Shirika linalojihusisha na kutoa ushauri wa uchaguzi la nchini Marekani, The Democracy Group, limesema kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti […]

25/06/2024

Maswali Magumu

Wamechanganyikiwa. Anajua hata 5 hizi anapumulia mashine basi kawatuma chawa mjadili 7.
25/06/2024

Wamechanganyikiwa. Anajua hata 5 hizi anapumulia mashine basi kawatuma chawa mjadili 7.

Uzuri wote walowahi kujaribu huu mchezo Zanzibar kila mtu anajuwa waliishia wapi ✊🏾 259
24/06/2024

Uzuri wote walowahi kujaribu huu mchezo Zanzibar kila mtu anajuwa waliishia wapi ✊🏾 259

Ndugu Rais Zanzibar ina wenyewe na wanaijuwa vyema Katiba yao. Huo mchezo unaocheza wa kugawa mamilioni kwa kila mjumbe ...
23/06/2024

Ndugu Rais Zanzibar ina wenyewe na wanaijuwa vyema Katiba yao. Huo mchezo unaocheza wa kugawa mamilioni kwa kila mjumbe wa NEC CCM kuanzisha mpango kubadili Katiba uwe Rais wa milele muda si wingi utapata majibu.Yuko mwenzako alijipa wabunge wote ili abadili Katiba kuwa Rais wa maisha nadhani unajua alipo sasa hivi.Zanzibar itabaki salama! Inshallah!!! ✊🏾+259

Maandilizi ya Dikteta na Rais wa Maisha Zanzibar! HAMTAFANIKIWA! Ifahamu Kamati Kuu ya Mkakati ya namna Hussein Mwinyi a...
23/06/2024

Maandilizi ya Dikteta na Rais wa Maisha Zanzibar! HAMTAFANIKIWA!

Ifahamu Kamati Kuu ya Mkakati ya namna Hussein Mwinyi atakavyobadili Katiba na kuongeza muda wa Urais Zanzibar toka miaka 5 hadi 7

Kamati Kuu ya Mkakati
Mwenyekiti ni Idrissa Kitwana
Mwenyekiti Mwenza ni Ali Salum Haji (Kirova)

Waratibu
Abdi Mahmoud Abdi
Afadhali Taib Afadhali
Haroun Abdullah (Mzee wa Viwanja)

Wajumbe
Ayoub Mohamed Mahmoud (Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja)
Ussi Salum Pondeza (Amjadi)
Sadifa Juma Khamis
Gallos Nyimbo
Hawa ndio wabakaji wa Katiba ya Zanzibar baada ya kuchota mamilioni ya kifisadi toka kwa Hussein Mwinyi na historia itawakumbuka hivyo.

Wakati mtalii muuza duka akiendelea kupiga dili Ikulu Zanzibar na kununuwa chawa kumsifia wenzake wako bize kuzungumza n...
20/06/2024

Wakati mtalii muuza duka akiendelea kupiga dili Ikulu Zanzibar na kununuwa chawa kumsifia wenzake wako bize kuzungumza na wananchi kuirejesha Zanzibar yao.

20/06/2024

Nakulilia Zanzibar yetu ilovamiwa na mtalii na kikundi chake na kuigeuza kuwa duka lake binafsi!!Inshallah mwenyezi Mungu atatupa mwanga na kutuondolea haya madhila ya mtawala!

19/06/2024

2025 Ngoma Inogile Zanzibar! CCM wameamua wenyewe kujitowa kwenye nafasi kwa kumpa nchi mtalii fisadi

19/06/2024

Laana hizi Baraka Shamte kaamua kuwa chawa uzeeni kusafisha kwa kibaba cha unga!!!! Huzuni iloyoje!!!

Address

Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Leaks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zanzibar Leaks:

Share