Miaka MITANO tulikuwa pamoja tulishafili Pamoja lkn kuna Muda safari inaishia njiani haimaanishi Ndio mwisho wa kila kitu
Nipo hapa kuwashukuru uongozi wa . MD kwa kuwa pamoja kipindi chote cha utendaji kazi wetu ushirikiano na umoja wetu nisiwe mchoyo wa Shukurani
ASANTEE TIMESFM
17/10/2022
Moja Ya Ndoto Yangu Kubwa Ilikuwa Ni siku Kuja Kukutana na dada Yangu legendary Aliyeupa Mziki Wetu Wa Bongo Flavour Heshima Kubwa sana,na Hatimaye leo ndoto yangu imetimia .
Asante sana dada Yangu Kwa kuja kwenye kipindi namba 1 TZ INTERTAINMENT
17/10/2022
SULUHU on 100.5 Saa 2 Kamili Usiku
05/10/2022
Tukizungumuzia Moja Ya Ngoma Kali Zilizotoka Mwezi Ulioisha Basi Huwezi Kuacha Kuizungumzia Ngoma Ya Ndugu Yangu Ni Moja Ya Hits Song Kali Zinazosumbua Kwa sasa .Tusiache Kusapoti mziki mzuri .
cc
Be the first to know and let us send you an email when WILLY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.