11/10/2022
Ulimwenguni watu zaidi ya ๐ฏ๐ถ๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐ญ.๐ด
wanatumia ๐๐บ๐ฎ๐ถ๐น ambazo ziko active mpaka kufika mwaka 2020 zilikua zaidi ya bilioni 1.5 ulimwenguni kote.
๐๐ผ๐ผ๐ด๐น๐ฒ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ป๐๐ถ ni sehemu Moja wapo ya kuhifadhi taarifa zako muhimu kuhusu kadi za benki, password ,namba za simu nk. Upatikana muda wowote unapokuwa kwenye Intaneti pale unapozihitaji.
Google akaunti Ina mambo wengi ya kushangaza ambayo watu wengi hawayajui kabisa!!!
1๏ธโฃ ๐บ๐ ๐ฎ๐ฐ๐๐ถ๐๐ถ๐๐
kwenye google, inakusaidia kuona shughuli zote unazozifanya mtandaoni wakati uko online, kuanzia website ulizotemblea, app ulizoziunganisha na akaunti yako pamoja na shughuli nyingi ulizozifanya kwenye Intaneti.
Ingia๐ myactivity.google.com/myactivity
Utajua shughuli zote unazofanya mtandaoni.
2๏ธโฃ ๐ฆ๐ฒ๐ฐ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฐ๐ต๐ฒ๐ฐ๐ธ๐๐ฝ kwenye Google
Ikiwa unahitaji kujua usalama wa akaunti yako k**a ni imara basi google wameweka kipengele cha security checkup cha kuchunguza akaunti yako.
Kwani inakusaidia kuifanya akaunti yako kuwa salama dhidi ya hackers, au kitu chochote mtandaoni.
Ingia๐ myaccount.google.com/security checkup
3๏ธโฃ ๐ ๐ ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐บ๐ถ๐๐๐ถ๐ผ๐ป
Labda una wasiwasi Kuna app zinakufuatilia taarifa zako mtandaoni basi kupitia Google akaunti yako unaweza kujua ni app Gani zimeomba permission za ku acces taarifa zako kupitia email yako.
Utaweza kujua ni third app zipi zinatumia email yako k**a ni kweli wewe ulizipa ruhusa za kuchukua data au lah utajua.
Ingia ๐
myaccount.google.com/permissions
Utajua k**a Kuna app inakufuatilia bila wewe kujua au lah.
4๏ธโฃ ๐ฑ๐ฒ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฎ๐ฐ๐๐ถ๐๐ถ๐๐
Utaweza kupata taarifa ya vifaa vinavyotumia email yako / ambavyo vimeunganishwa na email yako kutoka kwenye Simu, tablet, Tv nk.utajua k**a wewe umeunganisha au Kuna mtu anatumia bila wewe kujua basi utaweza kufahamu.
Ikiwa umepoteza kifaa chako simu / tablet utaweza kupata taarifa zake kupitia device activity.
Ingia ๐ myaccount.google.com/device activity
Ulikua unajua hii au ndo tujakujuza ?