Asili media Tz

Asili media Tz Contents Creator

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Ujumbe wa UNESCO kujadili maswa...
20/07/2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Ujumbe wa UNESCO kujadili maswala mbalimbali ya urithi wa Zanzibar ikiwemo utunzaji wa Mji Mkongwe.

Ujumbe huo uliambatana na Waziri wa Utalii na mambo ya kale Mhe Simai Mohammed Said pamoja na maafisa wa Wizara hiyo.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar leo tarehe 20 Julai,2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafamilia wa aliyekuwa Mwenyekiti wa T...
20/07/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafamilia wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Marehemu Jecha Saluma Jecha mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Mkwajuni Uyagu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kutoa pole tarehe 18 Julai, 2023.

Kwa mara ya kwanza tunapenda kuwakaribisha rasmi katika ukurasa wetu Rasmi wa Asili media, Dhamira yetu ni kuwa na mfulu...
19/07/2023

Kwa mara ya kwanza tunapenda kuwakaribisha rasmi katika ukurasa wetu Rasmi wa Asili media, Dhamira yetu ni kuwa na mfululizo wa Habari, Makala, Visa na Mikasa.

Address

Zanzibar

Telephone

+255717619834

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asili media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Asili media Tz:

Share