06/11/2024
JASS CONNECTION
INTERNET
*Asalamu walekum*
Natumaini ni wazima wa afya.
Karibu katika utawala wa internet bila kikomo kwa huduma,
1: Maofisin
2: Madukani
3: nyumbani
5: mashuleni
Huduma yetu Nirahisi sana .
Kujiuga ni Sh 180,000/=.
ADA ni 50,000/=
Malipo kila tarehe 22 Hadi 27 ushalipa
Maeneo yanayo patikana huduma kwa sasa ni :-
- Kwamchina mwanzo .
- Uwanja wa tomondo.
- Msikiti wa tauba.
- Kwerekwe makaburini.
- Magomeni .
- Magogoni Kwa kinyangunya .
- Roundabout ya Kwerekwe.
- Soko la Kwerekwe.
- Nyumba mbili.
- Kwerekwe c.
kote huko inapatikana wahi sasa .
Kwa maelezo wasilia nasi kupitia:-
+255 758 931 570
+255 772 179 105
Karibu