
05/09/2025
Rais wa Klabu ya Young Africans ( ) Mhandisi Hersi Ally Said ( )usiku wa kjamkia leo alihudhuria Mchezo kufuzu Mashindano ya CONMEBOL kati ya Brazil dhidi ya Chile ambapo Mchezo huo ulimalizika kwa Brazil kushinda bao 3-0.
Pichani ni Eng Hersi akiwa kiungo wa ushambuliaji wa timu ya Taifa ya Brazil na Klabu ya Chelsea Estevao Willian ambaye alifunga bao moja kwenye mchezo huo na kuibuka MAN OF THE MATCH.