Wote-Tv-Radio

Wote-Tv-Radio Our mission is to use our Media house as a powerful positive weapon to spread the message of peace

Tunawashukuru sana  na Florian kwa mchango wao mkubwa kwenye Sonko's Series. πŸ™πŸΎNancy, make-up artist wetu mwenye kipaji ...
08/06/2026

Tunawashukuru sana na Florian kwa mchango wao mkubwa kwenye Sonko's Series. πŸ™πŸΎ

Nancy, make-up artist wetu mwenye kipaji cha kipekee na pia muigizaji hodari, ulihakikisha kila mhusika anaonekana kwa ubora unaostahili mbele ya kamera. Asante kwa kujitoa kwako na taaluma yako.

Florian, actor wetu na driver wetu wa kuaminika, asante kwa kufanya zaidi ya wajibu wako kila siku. Ulikuwa sehemu muhimu ya safari hii ndani na nje ya kamera.

Sonko's Series imefanikiwa kwa sababu ya watu k**a nyinyi. Tunawathamini sana na tunajivunia kufanya kazi pamoja nanyi. ❀️🎬

Mara ya kwanza nilipokutana naye alikuwa Casting Manager wa Tulikuwa wageni kabisa, lakini kwa bahati nzuri alinichagua ...
08/06/2026

Mara ya kwanza nilipokutana naye alikuwa Casting Manager wa
Tulikuwa wageni kabisa, lakini kwa bahati nzuri alinichagua kwenye casting, na hapo ndipo safari yetu ilipoanza.

Leo ninachukua nafasi hii kumshukuru kwa kazi yake kubwa, moyo wake wa kusaidia, na kujitolea kwake katika Sonko's Series. Umekuwa sehemu muhimu ya mafanikio yetu na ni furaha kufanya kazi na mtu mwenye weledi, uvumilivu na upendo kwa sanaa.

Asante Sana .elina466 kwa kuamini vipaji vya wengine na kwa mchango wako mkubwa katika safari hii. Mungu akuzidishie mafanikio zaidi. ❀️🎬✨



Mafanikio ya Sonko's Series yasingewezekana bila watu wenye kujituma k**a Mangi.🎬Asante kwa kazi yako kubwa k**a Locatio...
08/06/2026

Mafanikio ya Sonko's Series yasingewezekana bila watu wenye kujituma k**a Mangi.🎬


Asante kwa kazi yako kubwa k**a Location Manager, kuhakikisha tunapata maeneo sahihi na mazingira bora ya kurekodia. Uweledi wako, uvumilivu na kujituma kwako vimechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya msimu huu.

Tunathamini mchango wako. Asante kwa kuwa sehemu muhimu ya familia ya Sonko's Series. πŸ™πŸΎβœ¨



Behind every great scene is a touch of magic, and for Sonko's Series, that magic comes from As both our stylist and actr...
05/06/2026

Behind every great scene is a touch of magic, and for Sonko's Series, that magic comes from

As both our stylist and actress, she brings a unique and authentic sense of style that breathes life into every character and scene. Her creativity, professionalism, and dedication make her an incredible person to work with. Beyond her talent, she is approachable, easy to collaborate with, and always delivers excellence with grace.

Thank you, Millichelle, for your amazing contribution to Sonko's Series. Your touch has made a lasting impact on this production, and we appreciate all that you do. ❀️🎬


Behind every great story is a visionary director.Working with Issah Rashid  on the Sonko's Series has been an incredible...
05/06/2026

Behind every great story is a visionary director.

Working with Issah Rashid on the Sonko's Series has been an incredible experience. His dedication, strategic thinking, creativity, and tireless work ethic have played a huge role in bringing this family saga to life. From long production days to solving challenges behind the scenes, he always led with focus, passion, and professionalism.

Thank you, Issah, for your commitment to excellence and for believing in this project from the very beginning. It has been an honor creating alongside you, and I look forward to many more successful productions together.

🎬 The journey continues...



27/05/2026

The Sonko's Episode 9 Trailer is out!?!

Episode hii imebeba vituko vya rafiki wa PK Sonko alimaarufu Tajiri Biggie!

Kuona Full episode subscribe You Tube WOTE-TV-RADIO

Kutana na muhusika huyu Bigy amecheza k**a moja ya marafiki wa karibu wa bwana Pk Sonko, Bigy amecheza k**a mmliki wa Pu...
27/05/2026

Kutana na muhusika huyu Bigy amecheza k**a moja ya marafiki wa karibu wa bwana Pk Sonko, Bigy amecheza k**a mmliki wa Pub ya vinywaji lakini pia ni tapeli makubwa anaejifanya usalama wa taifa.

Je' ungependa kuona visa vya Bigy?! Stay tuned next Episode

πŸ“Œ Subscribe our You Tube WOTE-TV-RADIO kupata uhondo Kamili.

**Aika Matemu  s a Tanzanian actress, script writer, and TV producer whose passion for storytelling has shaped a remarka...
24/05/2026

**Aika Matemu s a Tanzanian actress, script writer, and TV producer whose passion for storytelling has shaped a remarkable career in the entertainment industry.

Her journey began in 2013 while still a college student, when she was among a select few chosen to work with **Clouds Media** on the TV series *Mahusiano* β€” an early break that set the tone for what was to come. In 2015, she graduated from the **University of Dar es Salaam** and wasted no time diving deeper into her craft, joining **Pilipili Entertainment** where she featured in the series *Days of Nights*. She also took on a role in *Ngoma ya Roho*, produced by **Jerusalem Films**.

Never content with simply performing, Aika stepped boldly behind the scenes in **2017**, channeling her skills as a writer and producer to create her very own project β€” the *Sonko's* series β€” marking a defining milestone in her career.

In **2019**, she co-founded **Wote TV**, further cementing her role as a creative force in Tanzanian media. Through this venture, she produced and starred in *nspecta Ochola a TV series that earned national recognition when it was aired on NTV

Aika Matemu continues to be a trailblazing voice in East African television, proving that talent, vision, and determination can turn a college opportunity into a flourishing career.

πŸ“» WOTE RADIO NOW IN ZANZIBAR! 🌴Karibu to the home of authentic african vibes and conscious sound! 🎢✨Join our powerful da...
22/07/2025

πŸ“» WOTE RADIO NOW IN ZANZIBAR! 🌴
Karibu to the home of authentic african vibes and conscious sound! 🎢✨
Join our powerful daily lineup:

πŸŒ… Asubuhi Njema – 6AM–9AM: Start your day with positivity
πŸ”₯ Sauti ya Rasta – 9AM–12PM: Roots, culture & consciousness
πŸ₯— Chakula cha Rasta – 12PM–2PM: Food for the soul & spirit
🎀 Bongo Reggae Show – 2PM–6PM: Local vibes, global fire
🌊 Nile Blues Show – 6PM–10PM: Ancestral sounds from the river
❀️ Love Boat – 10PM–12AM: Sweet reggae for the lovers

πŸ“² TUNE IN NOW: https://zeno.fm/radio/wote-tv-radio/
🎧 Spread the word β€” Zanzibar is listening! Are you?

Address

MAKUNDUCHI ZANZIBAR
Zanzibar
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wote-Tv-Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wote-Tv-Radio:

Share

Category