16/09/2026
Ndani ya huu mzigo Kuna project moja ilianzishwa kwa ajili ya kutengeneza majeshi imara na yenye nguvu ambayo si rahisi kushindwa dhidi ya wapinzani,mradi huo waliuita ALPHA
‎
‎Lakini walipoanza majaribio hayo askari ambao walidungwa hizo serum za ALPHA walikufa,kwa hiyo mpango ukafeli na serikali kuamua kusitisha na kuufunga mradi huo...
‎
‎Lakini kabla mradi huo haujafungwa baada ya madhala kuanza kujitokeza kiongozi mmoja wa kijeshi(ANIL KAPOOR) alimdunga mkewe mjamzito sindano ya majaribio ili kumuokoa Yeye na mtoto aliekuwa tumboni baada ya hali kuonekana kuwa mbaya...
‎
‎Bad news ni kwamba mama na mtoto wote wakafariki...
‎
‎Lakini alikuwepo k**anda mwingine wa jeshi la INDIA (BOBBY DEOL) Yeye hakulidhishwa baada ya wakuu wao wa jeshi kuufunga na kuufutilia mbali mradi huo wa ALPHA
‎
‎BOBBY DEOL alifanikiwa kugundua kwamba ANIL KAPOOR kamdunga mkewe sindano yenye zile super serum za ALPHA zilizofeli katika majaribio
‎
‎Baada ya BOBBY DEOL kugundua mkewe ANIL kajifungua salama mtoto wa k**e na Yeye matamanio yake ni kuona mradi huo unaendelea, akamuiba mtoto wa ANIL kisha ikasemekana mwanae alikufa
‎
‎Kwa sili akawa akimlea yule mtoto aliempa jina la SITA huku akimpa mafunzo makali,lengo kumgeuza na kumfanya awe chombo chake cha kufanyia mauwaji,Binti akaiva akawa hazuiliki wala kupigika,kila mission aliyopewa matokeo yalikuwa ni mazuri
‎
‎Kwahiyo bwana BOBBY DEOL ambae SITA anamuona k**a mzazi akampa kazi ya kuteketeza wote waliokua wakifahamu juu ya mradi huo wa ALPHA
‎
‎Kwenye list alikuwepo pia ANIL KAPOOR bila bibie kujua kwamba anaenda kumuuwa baba yake mzazi
‎
‎Mzigo wa maana kabisa huu 2026....
‎Ambacho BOBBY DEOL hakujua ni kwamba mke wa ANIL alijifungua watoto mapacha,kwahiyo mtoto mmoja alifichwa na moja ya muuguzi na kwa sili akamkabidhi ANIL
‎
‎Kisha ANIL akamficha mtoto huyo mbali SPAIN,nae si haba anapiga mkono kinoma maana pia ana chembechembe za ALPHA
‎
‎Mzigo unaitwa ALPHA,ndani yupo pia HRITHIK ROSHAN k**a special appearance...hii na nyingine nyingi tunazo Whatsapp 0638442282,Link ya group ipo sehem ya comment...