Cheju TV

Cheju TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cheju TV, TV Channel, Zanzibar.

26/02/2026
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshmiwa Ayoub Mohamed Mahmoud  awajulia hali wananchi wa Jimbo  la Chaani ambao wanasumbuliw...
25/02/2026

Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshmiwa Ayoub Mohamed Mahmoud awajulia hali wananchi wa Jimbo la Chaani ambao wanasumbuliwa na maradhi mbali mbali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol juu kuas...
24/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol juu kuashiria uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima m...
24/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wimbo ...
24/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

Taasisi ya Pondeza Foundation imegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu wa Jimbo la Chumbuni, ikiwa ni utaratibu w...
21/02/2026

Taasisi ya Pondeza Foundation imegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu wa Jimbo la Chumbuni, ikiwa ni utaratibu wake wa kila mwaka unapofika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Akizungumza wakati wa ugawaji huo, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Alhaj Ussi Salum Pondeza, amesema watu wenye ulemavu wana nafasi kubwa katika jamii, hivyo kuna wajibu wa kuwatunza na kuwafikia ili kuwapa nafuu ya maisha, hususan katika kipindi hiki cha Ramadhan.
Mhe. Pondeza, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo, amesema kwa kushirikiana na Mwakilishi wa Jimbo, Mheshimiwa Makame Mohamed Sufiani, wataendelea kuwafikia wananchi wote, hasa wenye mahitaji maalum, kwa lengo la kutimiza ahadi walizozitoa wakati wa kampeni.
Sadaka hiyo ya futari imejumuisha unga, sukari, tende pamoja na tambi.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a Azzan Zungu (Mb), amemtembelea na kumjulia hali, Spika mst...
21/02/2026

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a Azzan Zungu (Mb), amemtembelea na kumjulia hali, Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Pius Msekwa nyumbani kwake Oysterbay, Jijini Dar es salaam.

Mtoto wa mwisho wa  Robert Mugabe wa  Zimbabwe  Bellarmine  Chatunga Mugabe akamatwa Afrika Kusini  kwa tuhuma za kumpig...
21/02/2026

Mtoto wa mwisho wa Robert Mugabe wa Zimbabwe Bellarmine Chatunga Mugabe akamatwa Afrika Kusini kwa tuhuma za kumpiga Risasi Mtunza Bustani.

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheju TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category