The Inside Tanzania

The Inside Tanzania News / Events / Business / Jobs / Cars / Real Estate / Tourism / Culture / Economy / Infrastructure / Sports / Health / Advertising / Buy & Sell

Ni mwaka mmoja sasa tangu umetutoka baba yetu mpendwafamilia yako pendwa na ndugu tunakukumbuka sanatunakuombea kheri hu...
10/01/2024

Ni mwaka mmoja sasa tangu umetutoka baba yetu mpendwa

familia yako pendwa na ndugu tunakukumbuka sana
tunakuombea kheri huko ulipo mpaka tutakapo kutana tena

rest in heaven peace
Avelyn Charles Shauritanga Luoga

   Tanzania likewise
07/09/2023



Tanzania likewise

25/12/2022
Let's appreciate beautifulness of this country
05/11/2022

Let's appreciate beautifulness of this country

Successful people are those who alwaysTrying, trying, tryingFail, fail, failAnd eventually, success comes as a result
11/09/2022

Successful people are those who always
Trying, trying, trying
Fail, fail, fail
And eventually, success comes as a result

19/01/2022

Hii kitaalam tunaitaje?
😃

10/01/2022
29/11/2021

Nafikiri Yanga tulikuwa sahihi kwenda CAS

Mgulani Primary SchoolShule flani ya kiswahili iliyopo karibu na ushuani....imagine imezungukwa na Police Barracks, JKT ...
02/11/2021

Mgulani Primary School

Shule flani ya kiswahili iliyopo karibu na ushuani....imagine imezungukwa na Police Barracks, JKT Mgulani, JWTZ Twalipo, DUCE, Uhamiaji Kurasini, Railway na Bandari, Ukoo wa Rashid Matumla, TX Moshi William nk

Classmate mmoja kati ya wengi wanaoiwakilisha vyema ni Ramadhan Chombo ( Redondo)Achana na ..fundi flani wa mpira...unajua tuliyoiangalia Valencia kitambo tunaelewa maana halisi ya kuitwa Redondo, jina flani la kiungo kashata kwelikweli....yaani anaujua sana mpira halafu pia anaujua sana uhuni, so inategemea wewe unataka kumuona kwenye sura ipi....ni k**a tunakmuona Fei toto wa Sasa, kuna muda anaweza kuwa mhuni k**a Jonjo Shevley na kuna muda anajifanya Pirlo

Basi bwana pale Mgulani P/S chini ya Mwailafu na baadae Materu k**a Headmaster kulikuwa na Talent za kutosha kuanzia soka, ngoma, ngumi, basketball nk ...Leo kizazi kile kinasherehekea kumuona mmoja wa mafundi bora wa soka kuwahi kutokea akirejea timu ya Taifa.... Ramadhan Chombo

All the best mwana...kuitwa peke yake ni mafanikio tosha mzee wangu, kuhusu kucheza nafikiri mwalimu anabaki kuwa muamuzi wa mwisho kulingana na mfumo na aina ya mpinzani anayekutana nae...all the best Redondo

Msemaji wa ile timu Sisi wa   tunasemaga Simba ni laiyoni na Doyo 😀😀😀
25/10/2021

Msemaji wa ile timu

Sisi wa tunasemaga Simba ni laiyoni na Doyo 😀😀😀

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Inside Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category