102.9 SWAHIBA FM

102.9 SWAHIBA FM Multimedia | Content Create.

Zimebakia siku 4 tuanze kuwa live katika youtube channel yetu, fanya kujiunga nasi ili uwe unapata kuona matukio ya stud...
26/10/2017

Zimebakia siku 4 tuanze kuwa live katika youtube channel yetu, fanya kujiunga nasi ili uwe unapata kuona matukio ya studio kila siku kupitia link hii

Official Youtube Channel for 102.9 Swahiba Fm Radio. Broadcasting direct from Zanzibar in Unguja Island.

Asalam aleykumKuanzia tarehe 01/11/2017,Vipindi mbalimbali vya Swahiba Fm vitakuwa vinaonekana kupitia youtube, hivyo ku...
25/10/2017

Asalam aleykum
Kuanzia tarehe 01/11/2017,
Vipindi mbalimbali vya Swahiba Fm vitakuwa vinaonekana kupitia youtube, hivyo kuwa wa kwanza kuviona kwa ku subscribe kwenye youtube channel ya Swahiba Fm kwa link hii.

Official Youtube Channel for 102.9 Swahiba Fm Radio. Broadcasting direct from Zanzibar in Unguja Island.

Habari Yako tunaamini upo vizuri 102.9   leo 28.6.2017 Tunatarajia kuwaletea  Mkutano na KATIBU MKUU Maalim Seif:   yaan...
28/06/2017

Habari Yako tunaamini upo vizuri 102.9 leo 28.6.2017 Tunatarajia kuwaletea Mkutano na KATIBU MKUU Maalim Seif: yaani moja kwa moja kupitia Radio yako Pendwa

Leo Jumatano Tarehe 28 June, 2017 katika Ofisi ya Wabunge wa CUF- Magomeni, Dar Es Salam kuanzia saa 5:30 Asubuhi, Maalim Seif atakutana na Wajumbe wa BKUT, Wabunge, Madiwani, viongozi na wanachama mbalimbali kuzungumzia masuala yanayoendelea ndani ya CUF, msimamo na muelekeo wa Chama.

.

Assalama Alaikum: Awali ya yote tunapenda kumshukuru Mumba wa ulimwengu huu kwa kutujaalia kuwa wazima wa Afya. Pili tun...
26/06/2017

Assalama Alaikum: Awali ya yote tunapenda kumshukuru Mumba wa ulimwengu huu kwa kutujaalia kuwa wazima wa Afya. Pili tuna penda kuwashukuru Nyinyi Wadau wetu wakubwa Wa Radio yetu 102.9 swahiba Fm, kwa kuwa pamoja nasi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan 1438.
Mara baada ya Kuukamilisha mwezi mtukufu wa Ramadhan sasa Tunasheherekea Sikukuu Ya Eid El Fitri.

Tunachukuwa Nafasi Hii Kwa Niaba ya Uongozi Na Wafanyakazi wote Wa kuwa Takia Sikukuu Njema Kwenu Nyote.

102.9

ARUSHA: Mahak**a leo imemuachia huru Diwani wa Sombetini baada ya kutompata na hatia katika kesi ya uchochezi iliyokuwa ...
01/06/2017

ARUSHA: Mahak**a leo imemuachia huru Diwani wa Sombetini baada ya kutompata na hatia katika kesi ya uchochezi iliyokuwa ikimkabili.

- Diwani Ally Bananga alikuwa akikabiliwa na kesi ya uchochezi wa kuhamasisha maandamano ya UKUTA.
.9.

"Atakayesaidia kuk**ata watu wanaousumbua huko Kibiti, Mkuranga, Rufiji mimi k**a IGP nitatoa milioni 10 kwa mtu atakaye...
31/05/2017

"Atakayesaidia kuk**ata watu wanaousumbua huko Kibiti, Mkuranga, Rufiji mimi k**a IGP nitatoa milioni 10 kwa mtu atakayefanikisha"-IGP Sirro.

.9

Shirika la reli la   leo linazindua huduma mpya ya treni ya kisasa kutoka Nairobi mpaka Mombassa. Serikali ya Kenya na C...
31/05/2017

Shirika la reli la leo linazindua huduma mpya ya treni ya kisasa kutoka Nairobi mpaka Mombassa. Serikali ya Kenya na China zimeshirikiana katika ujenzi wa miundombinu hio.
.9

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 102.9 SWAHIBA FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share