
18/07/2025
Mbunge wa Budalangi Raphael Wanjala ameikosoa serikali ya kitaifa kwa kile ametaja ni kutengwa katika miradi za maendeleo kwenye kaunti ya busia .
kulingana na Wanjala kaunti ya busia haijavuna pakubwa kimaendelea kutoka kwa serikali kuu licha ya kaunti hiyo kuwa lango kuu la kuingia na kutoka kwenye mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki.
kwa sasa anasema k**a viongozi kutoka busia wataunga mkono serikali iwapo tu miradi za maendeleo zitatekelezwa
|| BUSIA Border RADIO 89.9fm ||
Like || Comment and listen to busia border fm .||