The G-unit entertainment

The G-unit entertainment Music label

Shida za Dunia by Dr.Jose chameleon Old is Gold Rafiki yangu alikuja nyumbani,Kunielezea shida Fulani,Ati alifukuzwa kaz...
03/09/2022

Shida za Dunia by Dr.Jose chameleon
Old is Gold
Rafiki yangu alikuja nyumbani,
Kunielezea shida Fulani,
Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,
Mke wake amemutoroka,
Rafiki zake wanamcheka,
Shida amepata nyingi amechoka,
Dunia anajuta.
Acha kulia, shida za dunia,
Hebu tulia mungu anakujali pia, x2
Maisha mwendo ni pole,
Ukipata shida leo usikonde,
Wengi wako k**a wewe usijali,
Acha kulia ni Maisha makali,
Tazama kwanza uone kesho,
Usikonde uwape kichekesho,
Maisha itakuwa na matatizo,
Uombe mungu,
Atakupa uwezo,
Acha kulia, shida za dunia,
Hebu tulia mungu anakujali pia, x2
Hizo shida usifikirie uko nazo pekee yako,
Labda mungu anakuletea kesho,
Huwezi jua k**a leo siyo yako,
Kwa hiyo, masikini usikonde,
Labda kesho utapata,
Mungu alipanga maisha kakaraka,
Tunapanga naye anapanga,
Shida za dunia ninakwambia.
Acha kulia, shida za dunia,
Hebu tulia mungu anakujali pia, x4
Acha kulia(acha kulia)
Shida za dunia(shida za dunia)
Hebu tulia(hebu tulia)
Acha kulia(eeeh eeeeh eeehh)
Shida za dunia, (eeeeh eeh ehhhh)
Hebu tulia(eeeeeh eeeh eeeeeeh)
Mungu anakujali pia(eeeeh eeeh eeeh eeeh)
Rafiki yangu alikuja nyumbani, (acha kulia)
Kunielezea shida Fulani, (shida za dunia)
Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini, (shida za dunia)
Mke wake amemutoroka, (mungu anakujali pia)
Rafiki zake wanamcheka, (acha kulia)
Shida amepata nyingi amechoka, (shida za dunia)
Dunia anajuta.(mungu anakujali pia)

06/05/2022

🙈🙈🙈

The G-unit entertainment
02/05/2022

The G-unit entertainment

Address

Kampala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The G-unit entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category