Linus Patrick page.

Linus Patrick page. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Linus Patrick page., News & Media Website, Kampala.

UTEUZI:√Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mu...
20/03/2018

UTEUZI:
√Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi.
√Wateule wote wataapishwa Machi 21 Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 asubuhi.

√Moja ya masuala ambayo yameleta changamoto katika malezi ni ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano hasa matumizi ya simu z...
19/03/2018

√Moja ya masuala ambayo yameleta changamoto katika malezi ni ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano hasa matumizi ya simu za kisasa/janja(smart phone)
√Tafiti nyingi zinaonesha, mtoto akianza kutumia simu matokeo yake darasani hushuka, huku watoto ambao hawaruhusiwi kuwa na simu wanafanya vizuri kwenye majaribio ya darasani. Je,nini kifanyike ili Watoto wapambane na masomo yao kuliko matumizi na kwa muda mrefu wa hizi Teknolojia.?

Mtoto kuwalea Watoto wenzake ni kosa kisheria.√Ni wajibu wa wazazi kuwalea Watoto wao na kuwafundisha jinsi ya kuwaheshi...
19/03/2018

Mtoto kuwalea Watoto wenzake ni kosa kisheria.
√Ni wajibu wa wazazi kuwalea Watoto wao na kuwafundisha jinsi ya kuwaheshimu watu,tabia nzuri, kufanya kazi na kutimiza wajibu wao.
√Hila kuna baadhi yawazazi wanawapa Watoto mzigo wa kuwalea Watoto wenzao jambo ambalo mwisho wake ni kupotea kwa maadili katika jamii au kukosa haki ya kupata ELIMU.
√ na Timiza wajibu wenu.

Mzazi k**a huyu inabidi achukuliwe  hatua gani,??Mama ndiye mtu anayebidi kuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha Watot...
17/03/2018

Mzazi k**a huyu inabidi achukuliwe hatua gani,??

Mama ndiye mtu anayebidi kuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha Watoto wanakuwa maadili na tabia nzuri tofauti na Baba ambaye kazi yake kubwa ni utafutaji kwa ajili ya familia.

Ili mtoto akuwe akiwa na afya njema lazima apate chakula chenye virutubisho na kwa wakati ila sasa mzazi huyu kaamua kuwapandisha Watoto hao mlangoni kwani wao ni fundi Umeme..?
-Inasikitisha sana na kuleta mtazamo hasi , wazazi na serikali tukemee kwa nguvu swala hili ili lisije leta madhara hapo baadae.

By.

-Watoto wanaopata   na   yao ya msingi siku zote huwa na afya njema na furaja muda wote.-wazazi,walezi na Taasisi ni waj...
17/03/2018

-Watoto wanaopata na yao ya msingi siku zote huwa na afya njema na furaja muda wote.
-wazazi,walezi na Taasisi ni wajibu wetu kuwahakikisha tunawapatia mahitaji yao ya msingi ili waweze kufikia ndoto zao.

Watoto.

New generation with changes
14/03/2018

New generation with changes

 Ni haki ya mtoto kupata Elimu ya   ili kuwa na uwezo wa kupambana na vikwazo pamoja na changamoto anazokutana nazo waka...
10/03/2018


Ni haki ya mtoto kupata Elimu ya ili kuwa na uwezo wa kupambana na vikwazo pamoja na changamoto anazokutana nazo wakati akipambana kufikia ndoto na malengo yake.

08/03/2018
Mambo vipi wana fb???Ndo nimerudi hivooo tukopamoja saaana watu Wangu.
01/02/2018

Mambo vipi wana fb???
Ndo nimerudi hivooo tukopamoja saaana watu Wangu.


Nawatakia chrismass njema na mwaka   nyoote duniani na mungu awabariki
24/12/2017

Nawatakia chrismass njema na mwaka nyoote duniani na mungu awabariki

WALIONICHAFUA NAWAJUA...NIMEFUNGA MJADALA-Mc allein MwinyiSiku chache zilizopita Mc maarufu mkoani hapa alipatwa na dhah...
24/10/2017

WALIONICHAFUA NAWAJUA...NIMEFUNGA MJADALA-Mc allein Mwinyi

Siku chache zilizopita Mc maarufu mkoani hapa alipatwa na dhahama ya kuchafuliwa mitandaoni kwa madai ya utapeli,jambo ambalo imethibitishwa kuwa halina Ukweli wowote na lilitungwa kwa nia ya kumchafua na kumharibia kazi zake,limefungwa rasmi na mchekeshaji huo baada ya kuuambia mtandao huu kuwa amelifunga rasmi na asingependa lijadiliwe kwa sababu waliomchafua amewajua na taratibu za kisheria zinaendelea.

Mc huyo ambaye pia ni mwandishi wa habari na mwalimu wa semina amefanya mahojiano na mwandishi wa habari hizi alipomtembelea ofisini kwake nane nane mkoani hapa.

Mc allein Mwinyi amethibitisha kuwa mtu aliyetunga uongo huo hawana mahusiano mazuri kwa muda mrefu na pia taaluma za kazi zao zinafanana(Kwa maana k**a si mwandishi mwenzake basi ni Mc mwenzake).

Mc allein amesema katika uchunguzi wake binafsi aligundua mipango ya kumchafua ilianza kusukwa ndani ya group fulani la watsap.

Mshehereshaji huyo ambaye hakuwa tayari kutaja majina alimuonyesha vipande vya picha(screenshot) za ushahidi mzima.

Mc huyo amesema kwa sasa ameufunga mjadala huo na amedai asingependa kuona unaendelezwa katika mitandao ya kijamii.

Kuhusu kazi Mc allein Mwinyi amethibitisha kuwa ndani ya mwezi huu amepokea kazi nyiingi kinyume na mazoea ya miaka mingine

Address

Kampala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linus Patrick page. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share