06/08/2023
Nimetoka nikaenda town job, after 3 months nikarudi, nikachukua sufuria yangu yenye niliacha home nikoroge nayo sima, but mm kuingiza mwiko!!😪😪 Nilistaajabu ya firauni kabla ya Musa!😛,kwani mwiko ulipita adi mwishoooo!🙄🤣.Nikajuwa tu ni neighbor wangu brayo ndio alitoboa😎🤣
Send a message to learn more