EBM SCHOLARS USA

EBM SCHOLARS USA DV Lottery, Immigration, Education Scholarships, Visas

Why Building a Solid Support Network Leads to Greater Success
01/01/2025

Why Building a Solid Support Network Leads to Greater Success

🎯 How Building a Strong Support Network Fuels Your Success!In this video, we dive into why having the right people around you can make all the difference in...

📢 SEMINA YA BURE KUHUSU VISAS ZA MAREKANI NA ULAYA NA EBM SCHOLARS! 🌍✈Jiunge nasi kwenye Kikao Bure cha Visa ili kujifun...
10/19/2024

📢 SEMINA YA BURE KUHUSU VISAS ZA MAREKANI NA ULAYA NA EBM SCHOLARS! 🌍✈

Jiunge nasi kwenye Kikao Bure cha Visa ili kujifunza kila kitu kuhusu visa za wanafunzi, visa za kutembelea, vyuo vikuu, na ufadhili wa masomo!

🗓 Tarehe:

Jumamosi, Oktoba 26
Jumapili, Oktoba 27

⏰ Muda:

Kikao cha 1: Saa 3 Asubuhi - Saa 6 Mchana
Kikao cha 2: Saa 9 Alasiri - Saa 12 Jioni

💸 Gharama: Bure kabisa!

🎓 Mada zitakazojadiliwa:

Visa za Wanafunzi na Visa za Kutembelea
Community Colleges
Programu za Shahada na Shahada za Uzamili
Ufadhili wa Masomo

👥 Waalikwa:

Wazazi
Wanafunzi
Wafanyabiashara
Wafanyakazi
Mtu yeyote anayevutiwa!

🔗 Jisajiri BURE sasa: www.ebmscholars.com/visas

📍 Mahali: Ofisi za EBM SCHOLARS, Dar es Salaam 🇹🇿 (Nyuma ya Sky City Mall)

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupata maarifa muhimu! Karibu sana!

EBM SCHOLARS

K**a upo Dar es Salaam, Tanzania na wewe ni YouTuber au unataka kuwa YouTuber, jaza form hii hapa nitawasiliana nawe. Ni...
10/15/2024

K**a upo Dar es Salaam, Tanzania na wewe ni YouTuber au unataka kuwa YouTuber, jaza form hii hapa nitawasiliana nawe.

Ninataka kufanya FREE MENTORSHIP ya watu wachache ili kuongeza content creators waliopo Dar es Salaam, Tanzania

JAZA MAELEZO YAKO HAPA NITAWASILIANA NAWE

https://ebmscholars.com/collaboration/

USA DICOTA AWARDS....Piga Kura Yako Leo. Website ya kupiga kura
08/06/2024

USA DICOTA AWARDS....Piga Kura Yako Leo. Website ya kupiga kura

This award honors an individual who has shown passion and commitment to improving the social and economic well-being of the Tanzanian diaspora in America.

“You don’t need to be Steve Jobs or Oprah Winfrey to inspire people. You are inspirational to others in so many ways bec...
06/19/2024

“You don’t need to be Steve Jobs or Oprah Winfrey to inspire people. You are inspirational to others in so many ways because you are God’s Masterpiece” - Ernest B Makulilo (EBM)

Address

Belton, MO
64012

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EBM SCHOLARS USA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share