Askey tv

Askey tv Media personality

10/05/2021

🥰😘🥰😍 oldies but goodies

09/05/2021

Must watch Tom and Jerry 🥰😂😂

29/04/2021

At least she asked🤣🤣🤣🤣🤣

04/03/2021

Messi dance

14/01/2021

Bw. Lindabi

15/12/2020

Alikiba ft bonge la nyau uaminifu video

Fc barcelana
29/11/2020

Fc barcelana

09/11/2020

Alikiba ft spince ayaya

06/10/2020
01/10/2020

Vatican imemkatalia Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo kuonana na Papa Francis wakidai kuwa kiongozi huyo wa juu wa Kanisa Katoliki huwa hapokei wanasiasa wakati wa kipindi cha uchaguzi..
Hatua hiyo inaongeza hali ya mzozo wa kidiplomasia baada ya kauli ya Bwana Pompeo kuhusu China na Kanisa Katoliki..
Vatican ilimshutumu Pompeo kuwa anajaribu kutumia suala hilo kuvutia wapiga kura wa uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba nchini Marekani.

www.nyarugusutv.gadaddysites.com

Kampuni ya Facebook imesh*takiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ...
25/09/2020

Kampuni ya Facebook imesh*takiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji..
Kesi hiyo imetokana na ripoti za vyombo vya habari kuwa mtandao huo wa kushirikishana picha umekuwa ukitumia kamera za simu za iPhone hata pale ambapo watumiaji wa simu hizo hawatumii kamera..
Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu katika programu (bug) ambayo inairekebisha. Imesema kuwa 'bug' hiyo ilikuwa ikitoa taarifa (notification) kwa watumiaji wa Instagram kuwa iPhone inatumia kamera zao, jambo ambalo halikuwa kweli.

Address

NY

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+17162757291

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Askey tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Askey tv:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share