10/31/2025
Binti huyu single mother ameposti picha hii akiwa na mwanae kwenye siku yake ya kuzaliwa na kuandika maneno haya "Mwanangu Leo umeongeza mwaka mwingine nimekuita hapa nakiwa mtupu kukuonyesha kua siku nakuzaa nilikua hivi hivi sikua nimevaa nguo yoyote ..kwaio Mimi na wewe ni mwili mmoja kamwe usije kusahau kua umetoka ndani ya huu mwili wangu na nimekuzaa na kukulea kwa tabu bila usaidizi wa mtu yoyote kwaio kamwe usije sahau kua Mimi ndiye mtu muhimu kuliko watu wote hapa Duniani .. Happy birthday my son"
Amendika hivo dada huyu baada ya kupiga picha na mwanae wa kiume wa pekee akiwa uchi wa Mnyama
Yap maoni Yako yupo sahihi Kila mzazi ana njia zake za malezi au kakosea kwa alichokifanya??