09/04/2025
Zamani nilikua sijui wala sifwatilii, walichokua naimba Hawa jamaa, nilikua nakamua tu na ngoma. 🤔🤔Ila leo nimepata muda waku wasikiliza nakufwata maneno Yao kwa makini. Jamaa walikua nashauri sana vijana 🤦🤦🤦 Unakwenda. Tmk wanaume Familly. 🔥🔥 Diemsi Burundi Tv