06/10/2026
"Diamond ukiwa naye karibu lazima uwe star, ata ukiwa House boy wake, House Girl au hata mbwa wake lazima uwe Star, sema tu hajaamua lakini akitaka ata uwe nani lazima uwe maarufu, Yaani ilimradi tu uko naye hata uwe mlinzi utakuwa Star, kwasababu yeye ni Star na ana nyota yakusambazia wengine ustar.
Mfano, Hata wewe ukipigwa na Diamond unakuwa maarufu, akikutukana unakuwa maarufu, akikugonga na gari unakuwa maarufu, Ndomana anakwepaga kuwatukana watu mtandaoni, Hata ukimtukana akikupeleka mahak**ani hapo Tayari wewe ushatoboa, Ndomaana Diamond uwa apeleki watu mahak**ani" Amesema Comedian -Kobelo Og.
Video kwenye Comment.