bin wps wa ana

bin wps wa ana *VIDEO ZA VICHEKESHO
*TUNAFANYA PROMOTION
*TU CHEKI INBOX

follow and God bless you

Nani wakusongea karibu na semaji la dunia
11/27/2024

Nani wakusongea karibu na semaji la dunia

Orodha ya klabu za Afrika zilizofanya vizuri katika Nchi zao kwa wiki nne (4) Mbona awapo
11/27/2024

Orodha ya klabu za Afrika zilizofanya vizuri katika Nchi zao kwa wiki nne (4)

Mbona awapo

FULL TIME Simba 1-0 Bravos Point 3 Muhimu.... karata ya Fadlu Davids imeshachangwa..
11/27/2024

FULL TIME
Simba 1-0 Bravos

Point 3 Muhimu.... karata ya Fadlu Davids imeshachangwa..

Half Time Simba 1-0 Bravos
11/27/2024

Half Time
Simba 1-0 Bravos

Full Time Yanga 0-2 Al Hilal.Result Orientated inamlipa Frolent Ibenge hizo Ndiyo Falsafa zake..Kwenye Uchambuzi wangu n...
11/26/2024

Full Time
Yanga 0-2 Al Hilal.

Result Orientated inamlipa Frolent Ibenge hizo Ndiyo Falsafa zake..

Kwenye Uchambuzi wangu niliwaambia Frolent Ibenge hana soka la Kuvuti yeye anacheza Result Orientated theory..

Leo anatoka Lupaso na Point Tatu mbele ya Timu Ngumu kwenye group Lao..

Azizi K alikuwa hana haja ya kuendelea na Mchezo, Max Mzengeli ilikuwa asalie dimbani, Poor Substitution, Niliwaambia hamj Hamna kocha...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚goooooooooooooooooooo YANGA 0 - 2 AHLY
11/26/2024

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚goooooooooooooooooooo YANGA 0 - 2 AHLY

DAKIKA YA 87"
11/26/2024

DAKIKA YA 87"

GooooooooooAl Hilal 1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
11/26/2024

Goooooooooo
Al Hilal 1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

HALF TIME DUBE DAY Yanga 0-0 Al Hilal.Pale bench la Yanga Kuna Chama anaweza kubadili Mchezo, Lakini kwenye Bench la Al ...
11/26/2024

HALF TIME

DUBE DAY
Yanga 0-0 Al Hilal.

Pale bench la Yanga Kuna Chama anaweza kubadili Mchezo, Lakini kwenye Bench la Al Hilal kuna Serge Poku Anaweza kubadilisha games second half...

Mechi dume Sana πŸ”₯

Naweza kusema Dube bado anahitaji kupata goli ili kurudisha confidence...Anakosa Sana Utulivu kwenye eneo la Mwisho Laki...
11/26/2024

Naweza kusema Dube bado anahitaji kupata goli ili kurudisha confidence...
Anakosa Sana Utulivu kwenye eneo la Mwisho
Lakini pia Body fitness yake ni Mbovu Sana,kuna mda anatuliza Mpira anaanguka mwenyewe...
Bado kuna kitu hakujakaa sawa kwa Dube otherwise anahitaji pia canceling πŸ€πŸ€πŸ™πŸ½

Napenyezewa Taarifa hapa,Kuwa Aish Manula hajaripot Kambini Taangu amalize Mechi ya AFCON Dhidi ya Guinea na hakuna taar...
11/26/2024

Napenyezewa Taarifa hapa,Kuwa Aish Manula hajaripot Kambini Taangu amalize Mechi ya AFCON Dhidi ya Guinea na hakuna taarifa Yoyote iliyotolewa kwa Uongozi...
Tim imefanya program zote za maandalizi ya CAF Confederation CUP bila ya Aish Manula..

Rikondi ya mwamba fadlu
11/25/2024

Rikondi ya mwamba fadlu

Pacome Zouzouan hajasaini mkataba mpya na Yanga na inaelezwa kwamba,hataki kusaini mkataba mpya kwasababu amepata timu n...
11/25/2024

Pacome Zouzouan hajasaini mkataba mpya na Yanga na inaelezwa kwamba,hataki kusaini mkataba mpya kwasababu amepata timu nyingine ambayo itamlipa vizuri zaidi

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Zubeda Hassan Sakuru kuwa kaimu mtendaji mkuu katika Klabu hiyo.Zubeda Sakuru amechukuw...
11/23/2024

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Zubeda Hassan Sakuru kuwa kaimu mtendaji mkuu katika Klabu hiyo.

Zubeda Sakuru amechukuwa nafasi ya Francois Regus raia wa Rwanda aliyekuwa CEO wa Klabu hiyo ambaye mkataba wake umesitishwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa Simba.

DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Hizi hapa timu zote 64 baada ya kufanyika droo ya   hatua ya 64 bora
11/23/2024

DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Hizi hapa timu zote 64 baada ya kufanyika droo ya hatua ya 64 bora

🀣🀣🀣 hivi huyu adm ni mshabiki wa simba au🀣🀣
11/22/2024

🀣🀣🀣 hivi huyu adm ni mshabiki wa simba au🀣🀣

ANDIKA HAPO BADO ATUJA SAHAU MATOKEO YA YANGA NA TABORA UNITED 🀣
11/22/2024

ANDIKA HAPO BADO ATUJA SAHAU MATOKEO YA YANGA NA TABORA UNITED 🀣

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„.Pamba -1 SimbaLeunel Christian Ateba Mbida ⚽Quality ya Simba imeamua wao kuondoka na Point 3 Pamba wanafanya m...
11/22/2024

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„.

Pamba -1 Simba
Leunel Christian Ateba Mbida ⚽
Quality ya Simba imeamua wao kuondoka na Point 3

Pamba wanafanya marking nzuri personal mistake ndiyo zimewagharimu kwenye first ila defensive line Ilikuwa vizuri sana kwa Simba, Baada ya Substitution Pamba walianza kupandisha mashambulizi kwa Speed Kwenye lango la Simba,Baada ya Sub ya Ladack Chasambi na kuingia The Spear Defense line ya Simba ikawa imara..

Another Clean sheet kwa Mousa Pinpin Camara.

Point tatu za Jasho, Mechi ilikuwa Ngumu kuanzia Nje ya Uwanja hadi Ndani...

Address

1432 N 33rd Street
Milwaukee, WI
53208

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bin wps wa ana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to bin wps wa ana:

Share