Lona sports

Lona sports 💦NJOO TUCHAMBUE MPIRA
💦NJOO TUZUNGUMZE MPIRA
✍️NI FOLLOW TUONGEE MPIRA
(1)

03/31/2025

Daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mr MVP
03/27/2025

Mr MVP

FULL TIME - Friendly Match Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars⚽️ Kibu Denis⚽ Kibu Denis⚽ Amara BagayokoNext: Morocco 🇲🇦 ...
03/20/2025

FULL TIME - Friendly Match

Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars
⚽️ Kibu Denis
⚽ Kibu Denis
⚽ Amara Bagayoko

Next: Morocco 🇲🇦 🆚 Tanzania 🇹🇿
🗓️ Machi 26, 2025
⏲️ Saa sita na nusu usiku
🏟️ Honneur Stadium.

Kutoka Kwa Jemedari Said ni Kwamba Wakaguzi wa CAF Wapo Benjamin Mkapa Kukagua Miundombinu ya Uwanja huo LakiniiiiiiiiiI...
03/20/2025

Kutoka Kwa Jemedari Said ni Kwamba Wakaguzi wa CAF Wapo Benjamin Mkapa Kukagua Miundombinu ya Uwanja huo Lakiniiiiiiiii

Inasemekana Viongozi wa Simba Hawataki tena Uwanja Huo Utumike kwenye Mchezo huo Kwa kile wanachodai ni Meneja Wa Uwanja Huo aliyeshirikiana na Yanga Kwenye Ile kashkashi ya March 7 usiku na kuwagomea Simba Kufanya Mazoezi!!!

Simba wanawasisitiza Viongozi hao wakafanye Ukaguzi huo pia Uwanja wa Amaan Zanzibar,,k**a Vipi Kipigwe tu Zenji Dadeki !!!

Simba wapo Tayari Mchezo upigwe Zanzibar hawataki kuona Yale Madudu ya Meneja wa Uwanja Huo aliyeshirikiana na Yanga !!

Hizi ni Points Chache za Jemedari Said me nimeokota tu !!!

Kutoka  Uwanja wa Kimataifa wa Cairo 🇪🇬 HT: Mozambique 🇲🇿 3️⃣ ➖ 1️⃣ Uganda 🇺🇬⚽ 3' Pedro Santos⚽️ 6' Shaban Muhammad⚽️ 16...
03/20/2025

Kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Cairo 🇪🇬

HT: Mozambique 🇲🇿 3️⃣ ➖ 1️⃣ Uganda 🇺🇬

⚽ 3' Pedro Santos
⚽️ 6' Shaban Muhammad
⚽️ 16' Pedro Santos
⚽️ 45+3' Stanley Ratifo

Uganda 🇺🇬 wapo pungufu baada ya mshambuliaji wao Denis Omedi kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 38.

IMETHIBITISHWA 📌Mchezo wa ugenini dhidi ya Al Masry utachezwa saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania tarehe 2 Aprili, 2025 n...
03/20/2025

IMETHIBITISHWA 📌

Mchezo wa ugenini dhidi ya Al Masry utachezwa saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania tarehe 2 Aprili, 2025 na marudiano itakuwa saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania tarehe 9 Aprili, 2025.

🇹🇿 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: TANZANIA WOMEN LEAGUE Simba Queens 0️⃣➖️1️⃣ Yanga Princess                                         Mukanda...
03/18/2025

🇹🇿 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: TANZANIA WOMEN LEAGUE

Simba Queens 0️⃣➖️1️⃣ Yanga Princess
Mukandayisenga ⚽

Follow Lona sports

BREAKING NEWSMiguel Gamondi na Benchi lake la Ufundi  wameachana na waliokuwa waaajiri wake wapya klab ya Al Nasr ya Nch...
03/18/2025

BREAKING NEWS

Miguel Gamondi na Benchi lake la Ufundi wameachana na waliokuwa waaajiri wake wapya klab ya Al Nasr ya Nchini Libya,

Sababu za Muargentina huyo na wasaidizi wake hao kufikia sababu ya kuondoka klabuni hapo ni kutolipwa ada za Usajili pamoja mishahara tangu wajiunge nao,

Miguel Gamondi alijiunga na klab ya Al Nasr mwezi Februari mwaka huu baada ya kufutwa kazi na waliokuwa waajiri wake Young Africans ya Tanzania.
Follow Lona sports

🚨“ Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi...
03/18/2025

🚨“ Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana

“Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu.

Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana

Na k**a haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake

President na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu

K**A HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE’’

-Ameandika Ahmed Ally

Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Emmanuel Arnold Okwi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu yake ya Taifa ya Ugand...
03/18/2025

Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Emmanuel Arnold Okwi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu yake ya Taifa ya Uganda...

Katika barua maalumu ya taarifa hio Okwi anasema...
🎙”...Nyakati mpya za kufurahisha zinakuja kwa Uganda...ambapo Afrika Mashariki itakuwa mwenyeji wa CHAN baadae Agosti na itafuatiwa na michuano ya AFCON 2027...na vijana wengi wapya wanazidi kuibuka katika soka...Hio ndio sababu baada ya kusherehekea kumbukumbu zote nzuri (akiiwakilisha Cranes)...ninaamini ni wakati sahihi wa mimi kupisha na kuwaachia nafasi vijana wapya wenye vipaji vikubwa katika soka letu...”

BOUBOU TRAORE NDIYE HAKIMU AL MASRY VS SIMBA.SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka 🇲🇱 ...
03/18/2025

BOUBOU TRAORE NDIYE HAKIMU AL MASRY VS SIMBA.

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka 🇲🇱 kusimamia mchezo wa kwanza wa Robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya wenyeji Al Masry ya Misri na wawakilishi pekee wa Tanzania 🇹🇿, Simba SC.

Follow Lona sports

Klabu ya Yanga Sc imefungua kesi ya malalamiko kwenye Mahak**a ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) hatua inayokuja baada ya k...
03/18/2025

Klabu ya Yanga Sc imefungua kesi ya malalamiko kwenye Mahak**a ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) hatua inayokuja baada ya kutoridhishwa na majibu ya Shirikisho la soka Tanzania TFF kufuatia kuahirishwa kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo.

Kwa mujibu wa ripoti Wananchi hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki.
Follow Lona sports

Address

New York, NY

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lona sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share