
04/08/2025
🤣Kumbe Nairobi kuna watu wako na upendo hivi ☹️🤣, ndio nimefika country bus ,kushuka Tu kwa bus naona watu wengi wanataka kunisaidia kubeba mizigo zangu 🙏😂, uwee nimepea mwingine mahindi ,mwingine amenibebea bag ,mwingine ameshika Bibi mkono aki angai! 😱😹👋, na mwingine amenibebea simu na wameenda haraka siwaoni wanapeleka kwangu sindio🫣🤣, Watu wa Nairobi ni wakarimu sana buana 👋🫰😂😂😱....
Follow me 👉