01/07/2025
Back in high school, i was very poor in maths during exams nilikuwa napata kati ya 4%na 10%🙈. The results used to be announced from the lowest maark's to the highest marks,, so nilikuwa wa kwanza ama wa pili kuitwa🤨 alafu napokea viboko kadha 🙁
So one day the maths results were announced and my name wasn't among the first to be called 🤜🤛,,, so mwalimu anaendelea 30% 40% 50% 60% 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu Kwa class akaniangalia👀,, wanauliza "humepitaje huu mtihani?"😝,nikasmile nikasema "Ni mungu tu " by the time alifika 80% I was already grinding in excitement . Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu😁🙌,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimia 🙏,, class mzima walishanga na kuniangalia 👀,,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema
"One idiot did not write his name and scored 0% I just fainted😂😂😂
Follow Kevin