_aznews Best house of Entertainment News

Bonyeza link πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

12/28/2023

Ni sahii kumpikia mke wako Au sio sahii?

Mauaji hayo yametokea siku chache tangu Wanamgambo hao kulipua zaidi ya Watu 40 katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya ...
03/13/2023

Mauaji hayo yametokea siku chache tangu Wanamgambo hao kulipua zaidi ya Watu 40 katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( ) ambapo kuna machafuko yanayoendelea
-
Kundi hilo la Allied Democratic Forces ( ) limefanya shambulizi Kijiji cha kilichopo Jimbo la Kaskazini
-
Aidha, watu Wanne wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo huku Wanamgambo wanaotumia silaha za moto na mapanga wakichoma moto baadhi ya majengo

Mwanamuziki Kutoka Marekani   Amebarikiwa Kupata Mtoto Wa Pili Akiwa Pamoja Na Mpenzi Wake (Mchepuko) Aitwaye  . Taarifa...
03/13/2023

Mwanamuziki Kutoka Marekani Amebarikiwa Kupata Mtoto Wa Pili Akiwa Pamoja Na Mpenzi Wake (Mchepuko) Aitwaye . Taarifa Hii Inakuja Miezi Michache Kupita Tangu Aliyekuwa Mke Wake Kutangaza Kuachana Na Kwasababu Ya Ku-cheat Na Wanawake Wengine

Sasa Anakuwa Baba Wa Watoto 7, Watatu (3) Na , Wawili Na Ex Wake Halafu Wawili Tena Na Mrembo Sade

Michelle Yeoh ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa k**e katika tuzo za 95 za Oscars Jumapili usiku, na kuwa mwanamke wa k...
03/13/2023

Michelle Yeoh ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa k**e katika tuzo za 95 za Oscars Jumapili usiku, na kuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Asia kushinda tuzo hiyo.
-
Yeoh, alipata tuzo hiyo kupitia filamu ya "Everything Everywhere All at Once," ambayo imetoa jumla ya tuzo saba zikiwemo picha bora na mwongozaji.
-
Akipokea tuzo yake Yeoh alisema: "Na wanawake, usiruhusu mtu yeyote akuambie kwamba umepita wakati wako."
-
Tembelea bbcswahili kufahamu orodha ya washindi wote na matukio katika Tuzo za 95 za Oscars huko Los Angeles.

Kwa mara ya pili ndani ya wiki kadhaa Kimbunga Freddy kimeendelea kusababisha maafa Nchini Msumbiji baada ya Mvua kubwa ...
03/13/2023

Kwa mara ya pili ndani ya wiki kadhaa Kimbunga Freddy kimeendelea kusababisha maafa Nchini Msumbiji baada ya Mvua kubwa iliyoambatana na upepo kupelekea majimbo ya kati ya Zambezia, Manica na Sofala kuathirika zaidi.

Kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa Nchini humo (INAM), Kimbunga hicho Freddy kilipunguza mwendokasi wake kuelekea taifa hilo la kusini mwa Afrika na kilikuwa kilomita 60 (maili 40) kutoka pwani siku ya Jumamosi asubuhi.

Kimbunga hicho ambacho pia kiliikumba Msumbiji mnamo Februari 6 ni mojawapo ya dhoruba kali zaidi zilizorekodiwa katika ukanda wa Kusini.

Baada ya kudumu kwa takribani siku 34 mfululizo, mfumo wa hali ya hewa kutokana na Kimbunga hicho unatajwa kuvunja rekodi ya kimbunga cha kitropiki kilichodumu kwa muda mrefu zaidi.

Kwa mujibu wa Shirika la Hali ya Hewa Ulimwenguni, rekodi ya awali ilishikiliwa na kimbunga cha siku 31 mnamo 1994.

β€œNaona baadhi ya nyumba zimepasuliwa paa, madirisha yamevunjwa na mitaa imejaa maji. Inatisha sana,” alisema Massinge, Mfanyakazi

 anasema hakuna kiongozi wa TFF anaewatuma waamuzi wanaochezesha mechi za Coastal Union waipendelee timu hiyo.Anasema wa...
03/13/2023

anasema hakuna kiongozi wa TFF anaewatuma waamuzi wanaochezesha mechi za Coastal Union waipendelee timu hiyo.

Anasema wanachokifanya ni utashi wao binafsi.

Ikumbukwe Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia na Mwenyekiti Wa Bodi ya Ligi Steven Mguto wana vinasaba na timu hiyo hali inayoleta sintofahamu makosa ya waamuzi yanapoleta matokeo yanayoibeba Coastal Union.

Hoja hii imeletwa na alipotaka kujua kuhusu tweet iliyoandikwa na Jemedari hapo jana mara baada ta kumalizika kwa mechi ya Coastal dhidi ya Singida Big Star.

"Mwamuzi Isihaka Mwalile amechezesha mechi ya Coastal Union Vs Singida vizuuri, lakini mwisho mwisho amefanya kosa la β€œKibinadamu” kwa kukataa bao HALALI KABISA la Singida huku ukimuangalia usoni anaona AIBU. Waamuzi wanapata sana tabu kuchezesha mechi za Coastal Union."- Aliandika Jemedari

Dj maarufu    Amefunguka kuwa kuna kipindi aliwahi kwenda kwa Mganga kwa sababu ya matatizo.   akiwa kwenye kipindi cha ...
03/12/2023

Dj maarufu Amefunguka kuwa kuna kipindi aliwahi kwenda kwa Mganga kwa sababu ya matatizo.
akiwa kwenye kipindi cha cha amesema kuwa kuna kipindi alipitia matatizo ya vidonda vya tumbo hivyo ikambidi aende kwa Mganga kutibiwa.
Anasema kuwa ilikuwa akishika hela tu basi vidonda vya tumbo vinamshambulia akaona aende kwa mganga kutibiwa ugonjwa huo.
Neno Moja kwa

Inasemekana Mama mzazi wa Staa wa muziki    na Mume wake  hawako katika Maelewano mazuri, Hii imekuja baada ya wawili ha...
03/12/2023

Inasemekana Mama mzazi wa Staa wa muziki na Mume wake hawako katika Maelewano mazuri, Hii imekuja baada ya wawili hao kufuta urafiki wao (Unfollow) katika Mtandao wa Instagram.
Kisa cha wawili hao kuacha kufuatana katika Mtandao huo inadaiwa ni voice note zilizovuja za .
Unahisi kuna nini Kinaendelea?

Inadaiwa Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria  Amevuta Ndinga Mpya aina ya   ya Mwaka 2022 yenye thamani ya zaidi ya Bil...
03/12/2023

Inadaiwa Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Amevuta Ndinga Mpya aina ya ya Mwaka 2022 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 2.
Kupitia muuzaji wa Magari kutoka Nchini Nigeria amelithibitisha hilo baada ya kushare video na picha za gari hilo huku akimpongeza na kuipeleka katika nyumba yake.

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo (Bongo Movie)    amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kuvaa "Boots" aina ya MSCHF ku...
03/12/2023

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo (Bongo Movie) amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kuvaa "Boots" aina ya MSCHF kutoka kampuni ya ambazo bei yake ni $350 sawa na zaidi ya shilingi laki 8 za kiTanzania.

Unampa asilimia ngapi mrembo huyu kwenye muonekano huu.

Ukiwatazama washambuliaji Jean Baleke na Fiston Mayele, wanatofautiana kwa kitu gani uwanjani?Weka comment yako hapa chi...
03/12/2023

Ukiwatazama washambuliaji Jean Baleke na Fiston Mayele, wanatofautiana kwa kitu gani uwanjani?

Weka comment yako hapa chini πŸ‘‡ twende sawa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (kushoto) pamoja na Naibu Waziri Mku...
03/12/2023

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (kushoto) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia.

Address

Phoenix College, AZ
85021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when _aznews posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to _aznews:

Share