International Swahili Diaspora Tv

International Swahili Diaspora Tv Ukurasa huu wa International Swahili Diaspora Tv utakuletea Taharifa ya Habari, siasa,michezo,mijadala..na kadhalika.

Tumefungua ukurasa huu ili kuwajuza waswahili waishio ughaibuni kwa lugha ya kiswahili.

Ya wahenga ni azina
04/01/2021

Ya wahenga ni azina

Kitabu chako kimefungwa leo.Kurasa za kiongozi shupavu zimefungwa.Siku zote hakika utaenziwa jemedari mtu hodari jasiri ...
03/26/2021

Kitabu chako kimefungwa leo.

Kurasa za kiongozi shupavu zimefungwa.
Siku zote hakika utaenziwa jemedari mtu hodari jasiri mchapakazi na mwenye huruma. Shujaa wa Afrika lala salama baba.

03/25/2021

Wakongo waomboleza kwa pamoja kifo cha hayati John pombe Magufuli.
Goma drcongo.

03/24/2021

Majonzi ya kifo cha hayati John pombe Magufuli yatanda kongo DRC.
Vijana hawa wamekutana pamoja ili kumalizia shujaa wa Afrika aliyekuwa raisi wa Tanzania hayati John pombe Magufuli.

Raisi wa kongo Felix Tshisekedi ameumizwa na kifo cha Aliyekuwa raisi wa Tanzania hayati John pombe Magufuli, Raisi huyo...
03/19/2021

Raisi wa kongo Felix Tshisekedi ameumizwa na kifo cha Aliyekuwa raisi wa Tanzania hayati John pombe Magufuli, Raisi huyo wa kongo ameagiza WAKONGO WATUMIE SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO ya kifo cha hayati John pombe Magufuli.

Samia suluhu ameapishwa kuwa raisi wa sita wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, baada ya kifo cha raisi John pombe Maguf...
03/19/2021

Samia suluhu ameapishwa kuwa raisi wa sita wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, baada ya kifo cha raisi John pombe Magufuli aliyekufa siku mbili zilizopita.

Mama Samia suluhu ameandikisha rekodi ya kuwa raisi mwanamke wa kwanza kuitawala Tanzania.

Utakumbukwa daima raisi shupavu hodari na mwenye utu. UTAKUMBUKWA DAIMA😭😭😭😭
03/17/2021

Utakumbukwa daima raisi shupavu hodari na mwenye utu.
UTAKUMBUKWA DAIMA😭😭😭😭

03/10/2021

"Definition of love" imekamilika.
Album ya msanii wa bongo fleva Mbosso Khan imekamilika, sasa unaweza kuipakua kupitia mitandao tofauti tofauti.

Leo ni sikukuu ya wanawake duniani. Mtag mwanamke mchapakazi jasiri asiyetegemea kutegemezwa.
03/08/2021

Leo ni sikukuu ya wanawake duniani. Mtag mwanamke mchapakazi jasiri asiyetegemea kutegemezwa.




02/26/2021

Msanii wa bongo fleva alikiba ameonyesha anavyouunga mkono mziki wa Tanzania kwa kucheza nyimbo za wasani mbali mbali akiwemo Daimond platnumz wimbo wa "AFRICAN BEAUTY "

SOUND FROM AFRICA "KIUNO"
02/11/2021

SOUND FROM AFRICA
"KIUNO"

LEOLEO kibwagizo kipya cha Nandy na nguli wa muziki wa kiafrika koffi olomide, imekamilika kwa mfumo wa sauti(audio).
02/11/2021

LEOLEO kibwagizo kipya cha Nandy na nguli wa muziki wa kiafrika koffi olomide, imekamilika kwa mfumo wa sauti(audio).

SOUND FROM AFRICA "KIUNO" Video imeshakamilika
02/11/2021

SOUND FROM AFRICA
"KIUNO" Video imeshakamilika

NYAMA tayari ipo YouTube
02/11/2021

NYAMA tayari ipo YouTube

02/10/2021

Ushauri wa nguli wa sanaa ya uigizaji Steven kanumba, kwa waigizaji

Wimbo suvari waridi kitamba
02/06/2021

Wimbo suvari waridi kitamba

Black history mounth
02/03/2021

Black history mounth

Address

Phoenix, AZ
85015

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when International Swahili Diaspora Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to International Swahili Diaspora Tv:

Share