Mama Anafanikisha

Mama Anafanikisha Tunaangazia mafanikio tunayoyapata katika nchi yetu (Tanzania) kutokana na uongozi thabiti wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Tanzania ina jumla ya;✅Majimbo 272✅Kata 3,960✅Vituo vya kupigia kura 9,991Kupiga kura ni haki yako ya msingi kikatiba. K...
23/08/2025

Tanzania ina jumla ya;

✅Majimbo 272
✅Kata 3,960
✅Vituo vya kupigia kura 9,991

Kupiga kura ni haki yako ya msingi kikatiba. Kaa tayari

Waliojiandikisha kupiga kura 2025 ni 37.6M 🗳️CCM pekee ina wanachama 12M+ (31.9%).Hata bila kura za wasiokuwa wanachama,...
23/08/2025

Waliojiandikisha kupiga kura 2025 ni 37.6M 🗳️
CCM pekee ina wanachama 12M+ (31.9%).

Hata bila kura za wasiokuwa wanachama, tayari ni nguvu kubwa ya ushindi.

23/08/2025
  tiki zetu ni sauti ya ushindi.
23/08/2025

tiki zetu ni sauti ya ushindi.

 Serikali imeweka mazingira wezeshi ya biashara kwa sera na programu zinazokuza sekta binafsi nchini.
22/08/2025



Serikali imeweka mazingira wezeshi ya biashara kwa sera na programu zinazokuza sekta binafsi nchini.

  Maboresho yaliyofanyika katika sekta ya kilimo na kukifanya kiwe cha kisasa zaidi, yamenufaisha asilimia 88 ya wanawak...
22/08/2025



Maboresho yaliyofanyika katika sekta ya kilimo na kukifanya kiwe cha kisasa zaidi, yamenufaisha asilimia 88 ya wanawake wanaojihusisha na kilimo cha mazao ya chakula.

 Anathamini michezo na kuiinua sekta hiyo.Katika kuwapa hamasa wachezaji wa Taifa Stars, Rais Samia Suluhu amewakabidhi ...
22/08/2025



Anathamini michezo na kuiinua sekta hiyo.

Katika kuwapa hamasa wachezaji wa Taifa Stars, Rais Samia Suluhu amewakabidhi kiasi cha shilingi milioni 200.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Anafanikisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share