Habari Matukio TZ

  • Home
  • Habari Matukio TZ

Habari Matukio TZ TANZANIA 🇹🇿Media Page Welcome 🤗

KUNA MTU KAULIZA...SWALI ZURI SANA....👇"Hata mimi mwenye mwanamke mmoja naweza kupata huu ugonjwa Sababu tu ya kuzama ch...
17/01/2025

KUNA MTU KAULIZA...SWALI ZURI SANA....👇

"Hata mimi mwenye mwanamke mmoja naweza kupata huu ugonjwa Sababu tu ya kuzama chumvini?"

Ili mnielewe wacha niwapitishe kwanza ufahamu kuhusu (Normal flora bacteria).

Najua vijana wengi wanajipa moyo kwamba k**a mwanaume ni msafi, Mwingine ata sema Ni mke wa ndoa. N.K.

IPO HIVI...

Normal flora bacteria ni kundi la bakteria wanaoishi k**a walinzi kwenye mwili wa binadamu bila kusababisha magonjwa wakiwa eneo husika.

Wanapatikana maeneo k**a kwenye ngozi, kinywa, ukeni, njia ya upumuaji, njia ya mkojo, njia ya haja kubwa na utumbo.

Wanafanya kazi muhimu k**a...

↳ Kulinda dhidi ya maambukizi kwa kushindana na bakteria hatari..N.k

Tuende kwenye point...hope utakuwa umenielewa....

Tabia ya kuzama chumvini (oral s*x) inaweza kuwa na athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata magonjwa ya zinaa k**a Bakteria na virusi k**a HPV, Herpes, Gonorrhea, na Chlamydia yanaweza kuambukizwa kupitia oral s*x.

Hapo najua unajipa moyo kwamba je k**a mwanamke wangu ni msafi hana magonjwa hayo nitapataje madhara...??

↳ Sasa turudi kule kwenye (Normal flora bacteria)...

K**a tulivyo ona kazi au faida ya bacteria hawa wakiwa kwenye eneo husika la mwili.

Bacteria hawa endapo wakihamishwa kutoka sehemu husika kwenda sehemu nyingi, Mfano wa kwenye UKE kwenda mdomoni na kwenye mdomo kwenda kwenye UKE.

watageuka na kuwa bacteria hatarishi SANA na kusababisha magonjwa k**a (bacterial vaginosis) Unakuta UKE unanuka unatoa mimaji uchafu, fungus N.K.. au maambukizi ya mdomo, si umewatoa wa kwenye UKE na kupelekea mdomoni...Hapo pia lazima utamata infection katika kinywa, kooni na hata kupelekea Cancer.

Acheni kwenda chumvini otherwise R.I.P wazama chumvini wote...💔

Admin service Yuzzo Vocal TZ

See You My Mother 👩 👩‍🍼 ❤️
24/11/2024

See You My Mother 👩 👩‍🍼 ❤️

Muhuni Wa Tanzania 😄😄😄
01/09/2024

Muhuni Wa Tanzania 😄😄😄

Komasava  😀😀
12/08/2024

Komasava 😀😀

  Habari Matukio TZ
05/08/2024

Habari Matukio TZ

MBADALA WAKE HUYOOO 😂😂😂😂ALIYE POST MISTA 👇FOLLOW 👇Yuzzo Vocal TZ FOLLOW 👇Habari Matukio TZ
05/07/2024

MBADALA WAKE HUYOOO 😂😂😂😂

ALIYE POST MISTA 👇
FOLLOW 👇
Yuzzo Vocal TZ

FOLLOW 👇
Habari Matukio TZ

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Matukio TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari Matukio TZ:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share