Cibizi online TV

Cibizi online TV We are ordained in giving you the latest news and entertainment

"Wakenya sio majirani wema. Badala watuombee Dua walituombea kushindwa na Morocco na ndiposa tulishindwa" Zuchu blames k...
22/08/2025

"Wakenya sio majirani wema. Badala watuombee Dua walituombea kushindwa na Morocco na ndiposa tulishindwa" Zuchu blames kenyans for Tanzanian defeat by Morocco.

Few minutes remaining for Rigathi Gachagua to land in JKIA
21/08/2025

Few minutes remaining for Rigathi Gachagua to land in JKIA

"Wakenya ifike mahali mjue mipaka yenu, kwani mnatudhaliisha kwa kununua tikiti uwanja wa Mkapa na mnajua kabisa hamkuji...
20/08/2025

"Wakenya ifike mahali mjue mipaka yenu, kwani mnatudhaliisha kwa kununua tikiti uwanja wa Mkapa na mnajua kabisa hamkuji. Naomba CHAN iwachukulie hatua Kenya kwa utovu huu wa nidhamu. Sisi ndio majirani wenu wa karibu kabisa na tunashirikiana kwa pamoja kufanikisha mashindano haya ya CHAN. Kwa nini mnataka kumsupport jirani wa mbali (Morroco), hii ni kejeli kwetu sisi! Mnataka tuonekane kwamba sisi hatuna uwezo wa kuandaa AFCON ya 2027 ili muandae niye tu"

20/08/2025

Harambee stars on whether Alicia kanini fulfilled her promise 😅😅😅😅

BREAKING: K24 TV owned by Mediamax Limited, has been officially shutdown after 17 year of operation in Kenya
15/08/2025

BREAKING: K24 TV owned by Mediamax Limited, has been officially shutdown after 17 year of operation in Kenya

"As a patriotic citizen, I will serve each Harambee stars player two rounds if they win their game this Sunday against Z...
13/08/2025

"As a patriotic citizen, I will serve each Harambee stars player two rounds if they win their game this Sunday against Zambia" Alicia kanini promises Kenya National Team.

Betty Kyallo's daughter chilling with her stepfather
13/08/2025

Betty Kyallo's daughter chilling with her stepfather

13/08/2025

Kisau girls training for the zilizopendwa song "Ikiwa wenda nyumba ni mama" for the ongoing music festivals in Meru

“Wewe mzee sikujui potelea mbali,k**a uko na njaa sema nikununulie chakula lakini usijaribu kusema mimi ni mtoto wako. M...
12/08/2025

“Wewe mzee sikujui potelea mbali,k**a uko na njaa sema nikununulie chakula lakini usijaribu kusema mimi ni mtoto wako. Mimi k**a Ezemor ni Mluhya original na mjukuu wa Wanga. Hata ungekuwa baba yangu singekuangalia mara mbili sababu umekuwa wapi hiyo miaka yote k**a unasema uliniacha nikiwa na miezi tatu. K**a singekuwa MP haungewahi nitafuta, wacha mchezo mzee!” Peter Salasia responds to Kikuyu man claiming to be his father

“Mimi ndio nilizaa Peter Salasia,tuliachana na mama yake Salasia akiwa na miezi tatu sababu mama yake alikuwa kichwa ngu...
11/08/2025

“Mimi ndio nilizaa Peter Salasia,tuliachana na mama yake Salasia akiwa na miezi tatu sababu mama yake alikuwa kichwa ngumu. Salasia akuje aangalie sura tu,hata tunaeza fanya DNA ndio ajue mimi ni baba yake!” A Kikuyu man claiming to be Peter Salasia’s father is looking for him

Address

Nairobi
<<NOT-APPLICABLE>>

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cibizi online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Cibizi online TV:

Share