03/08/2025
*"Habari, mimi naitwa Rhus Média. Niko Bukavu na nina ndoto ya kuwa msanii wa video au series. Natafuta kikundi cha uigizaji, studio au watu wanaotengeneza filamu, sketches au maigizo ambapo naweza kushiriki au kujifunza. Niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii. Tafadhali k**a kuna nafasi yoyote au unajua mahali pa kuanzia, nijulishe. Asante sana!"*