Channel Africa Swahili

  • Home
  • Channel Africa Swahili

Channel Africa Swahili Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika ni kituo cha Redio ya kimataifa ya Shirika la utangazaji la

12/08/2025

Karibu katika matangazo yetu leo Jumanne 12/08/2025.

 :Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mji...
05/08/2025

:

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

👉🏽 Serikali ya Ghana imeipa shirika linalotoa huduma ya utangazaji ya satelaiti la DStv hadi Alhamisi, kupunguza bei za usajili la sivyo leseni yake ya utangazaji itasitishwa.

👉🏽 Uganda inakaribia kuwahifadhi wakimbizi milioni 2 kutokana na machafuko yanayoongezeka nchini Sudan, Sudan Kusini, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

👉🏽 Leo ni Jumanne tutakuwa na swali letu la leo, Nini kifanyike ili kamaliza uasi na ugaidi katika bara la Afrika?

Pia unaweza kutusikiliza kupitia www.channelafrica.co.za na kwenye mitambo ya open view 628, tutakuwa pia mubashara kupitia facebook 👉 Channel Africa.

Unaweza pia kupakua App ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) utatupata bila wasiwasi 👉
https://play.google.com/store/apps/details...

Tuachie ujumbe wako mfupi wa maandishi, ao ujumbe wako wa sauti kwenye namba yetu ya simu simu ya Whatsapp ambayo ni +27605525924 nasi tutaucheza baadaye.

Karibu

Channel Africa is an International Radio station whose mandate is to support South Africa's Foreign Policy enshrined in the Department of International Relations and Cooperation's - Vision and Mission and contribute to the development of Africa, support peace, democracy and good Governance through t...

30/07/2025

Darubini ya Afrika 30/07/2025

27/07/2025

Mkutano wa kilele wa siku 3 wa vyama vya ukombozi vya kusini mwa bara la Afrika, umemalizika hii leo katika ukumbi wa Radisson Hotel, huko Bredell, Kempton Park hapa Johannesburg - Afrika Kusini.

Kwa mengi zaidi kuhusiana na mkutano huo, usikose kusikiliza matangazo yetu kesho kuanzia saa 12:00 jioni Afrika ya kati.

Mkutano wa kilele wa siku tatu wa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika, umemalizika hii leo katika ukumbi wa Radisson Ho...
27/07/2025

Mkutano wa kilele wa siku tatu wa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika, umemalizika hii leo katika ukumbi wa Radisson Hotel, ambao unapatikana Bredell, Kempton Park hapa Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Vyama vinavyohusishwa na mkutano huo wa kilele ni ANC (Afrika Kusini), FRELIMO (Msumbiji), SWAPO (Namibia), MPLA (Angola), CCM (Tanzania) na ZANU PF (Zimbabwe).

18/07/2025

Darubini ya Afrika 18/07/2025

 :Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mji...
18/07/2025

:

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

👉🏽 Mamia ya Waliberia walimiminika katika mitaa ya mji mkuu jana Alhamisi, kudai uwajibikaji kutoka kwa serikali ya Rais Joseph Boakai.

👉🏽 Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekubali kulipa klabu ya soka ya Barcelona ya Uhispania dola milioni 46, ili kuitangaza nchi hiyo kwa nia ya kuimarisha utalii wake.

👉🏽 Leo ni Ijumaa tutakuwa na swali letu la leo, Unadhani kuitangaza Drc kupitia mavazi ya klabu ya Barcelona ni muhimu katika kipindi hiki?

Pia unaweza kutusikiliza kupitia www.channelafrica.co.za na kwenye mitambo ya open view 628, tutakuwa pia mubashara kupitia facebook 👉 Channel Africa.

Unaweza pia kupakua App ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) utatupata bila wasiwasi 👉
https://play.google.com/store/apps/details...

Tuachie ujumbe wako mfupi wa maandishi, ao ujumbe wako wa sauti kwenye namba yetu ya simu simu ya Whatsapp ambayo ni +27605525924 nasi tutaucheza baadaye.

Karibu

Channel Africa is an International Radio station whose mandate is to support South Africa's Foreign Policy enshrined in the Department of International Relations and Cooperation's - Vision and Mission and contribute to the development of Africa, support peace, democracy and good Governance through t...

 :Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mji...
17/07/2025

:

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya jioni kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, kutoka Auckalnd Park mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

👉🏽 Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha ruzuku ya dola milioni 17 kusaidia uokoaji na juhudi za kujenga uthabiti katika jimbo la Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji lililoathiriwa na migogoro.

👉🏽 Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jenerali Christian Tshiwewe, amekiri kupanga njama ya mauaji ya Rais Félix Tshisekedi wa nchi hiyo.

👉🏽 Leo ni Alkhamisi tutakuwa na swali letu la leo, Nini kifanyike ili kujenga jeshi la kizalendo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo?

Pia unaweza kutusikiliza kupitia www.channelafrica.co.za na kwenye mitambo ya open view 628, tutakuwa pia mubashara kupitia facebook 👉 Channel Africa.

Unaweza pia kupakua App ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) utatupata bila wasiwasi 👉
https://play.google.com/store/apps/details...

Tuachie ujumbe wako mfupi wa maandishi, ao ujumbe wako wa sauti kwenye namba yetu ya simu simu ya Whatsapp ambayo ni +27605525924 nasi tutaucheza baadaye.

Karibu

Channel Africa is an International Radio station whose mandate is to support South Africa's Foreign Policy enshrined in the Department of International Relations and Cooperation's - Vision and Mission and contribute to the development of Africa, support peace, democracy and good Governance through t...

Address

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Channel Africa Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Channel Africa Swahili:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share