CJ Movi£ Studi0

CJ Movi£ Studi0 Taarifa zote za movie mpya na za zamani utazipata hapa

Kazi mpya imetoka mwaka 2022
10/04/2022

Kazi mpya imetoka mwaka 2022

Series: EliteYear: 2018 -Genres: Crime, DramaLanguage: SpanishCountry: SpainRates: 7.5/10, Tv-MaMzigo S05 umeachiwa taya...
10/04/2022

Series: Elite
Year: 2018 -
Genres: Crime, Drama
Language: Spanish
Country: Spain
Rates: 7.5/10, Tv-Ma

Mzigo S05 umeachiwa tayari, Kwa ambae hujawahi kutazama kabisa hii nakushauri ufanye hivyo k**a unapenda Drama k**a Drama.

Stori yake inahusu sekeseke la kumjua muuaji ni nani? Hii inakuja ni baada ya vijana watatu kuhamishiwa shule ambayo wanasoma zaidi watoto ambao wazazi wao wanajiweza kifedha.

Wao walikua wanasoma shule ya kawaida tu, Lakini tetemeko la ardhi lilitokea na shule yao ikawa destroyed ndio wakapata udhamini wa kwenda hiyo shule, Lakini walipoanza tu ndio tukio la mauaji linatokea

Nani mhusika mkuu? Vijana maisha yao hapo shule ni mazuri kweli? Kazi kwenu!

Movie: Satyameva Jayate 2Year: 2021Genres: Action, Crime DramaLanguage: HindiCountry: IndiaRates: 5.1/10, 2H 18MYa kwanz...
09/04/2022

Movie: Satyameva Jayate 2
Year: 2021
Genres: Action, Crime Drama
Language: Hindi
Country: India
Rates: 5.1/10, 2H 18M

Ya kwanza iliachiwa mwaka 2018, So hii ni sehemu ya pili, Unajua ukimuona mwanangu John Abraham 😂 Huyu jamaa anachojua ni kutoa adhabu takatifu tuu.

Yani filamu yoyote utayomuona, Kuhusu stori ni baadae kwanza, Ila we angalia tu namna atavyosulubu watuuu, Huwa anapiga anapeleka watu kuzimu alafu anawarudisha tena kuwapa kichapo 😂

Movie: UmmaYear: 2022Genres: Drama, Horror, MysteryLanguage: English, KoreanCountry: United StatesRates: 5.0/10, PG-13 1...
09/04/2022

Movie: Umma
Year: 2022
Genres: Drama, Horror, Mystery
Language: English, Korean
Country: United States
Rates: 5.0/10, PG-13 1h 23m

Amanda anaishi na mtoto wake anaitwa Chrissy, wanaishi maisha ya kizamani mno tofauti na hali ilivyo kwa dunia yetu ya sasa na yote ni kwa sababu pia Amanda alikua na allergy ya vitu vya umeme! So alikua hataki kabisa vifaa vya elektroniki.

Mtoto wake alikua anampa elimu ya Home zaidi, sasa Amanda anakuja kukasirika baada ya mtoto wake kudai anataka kwenda College, Why Maza hataki? Okay sio kesi lakini balaa zaidi linaanza ni baada ya Amanda kuletewa majivu ya Mama yake ambae alikua ametoka kufariki.

Hapo ndio balaa sababu baada ya majivu kuletewa anaanza kuona mambo ya ajabu ajabu tu, mfano alikua anafuga kuku wanaanza kuliwa yani visanga k**a vyote!

Ndio maana unaambiwa 'A mother love never dies' sasa hiyo ndio Love gani

Kwenye series ya Gomorrah kuna mwamba alikua anatumiwa k**a mtu wa kusafisha pesa, Si unajua watu wa biashara haramu ili...
09/04/2022

Kwenye series ya Gomorrah kuna mwamba alikua anatumiwa k**a mtu wa kusafisha pesa, Si unajua watu wa biashara haramu ili wasistukiwe ni lazima uwe na fundi wa kuchezesha mahesabu hayo.

Sasa kuna mpunga mwingi tuu walimpa bhana jamaa, Wakamwambia aifanye as Liquid, Kwenye uchumi wakisema Liquid inamaana invest pesa kwenye vitu ambavyo at anytime pesa ikihitajika inarudisha pesa ile ile tena kwa haraka.

Mfano kununua gari hiyo sio Liquid Investment au kununua kiwanja, Maana ukihitaji pesa kwa haraka unaweza kutumia muda sana kuirudisha, So watu wa uchumi mnajua vizuri zaidi asset gani ni Liquid.

Basi bhana jamaa si kumbe kichwani ana mambo yake, Si akaenda ku invest pesa kwenye asset ambazo ni Non- Liquid, Mwamba akanunua kampuni sijui akaenda kununua real estate etc 😁

Alafu anajitapa kua ni pesa zake, Balaa likaja wahuni wakawa wanahitaji pesa zao haraka aiseee! Jamaa nimemuonea huruma huyoo 😂

Nimemuacha anataka kuuza kampuni, Kampuni haizuki mpaka anajiuliza hivi alinunuaje tena 😂

Kwa taarifa zilizo rasmi movie ya "365 DAYS" itaachiwa 27April 2022
08/04/2022

Kwa taarifa zilizo rasmi movie ya "365 DAYS" itaachiwa 27April 2022

Address

Mapumulo

Telephone

+255783220610

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CJ Movi£ Studi0 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share