Mtaa wa ushauri na story

Mtaa wa ushauri na story Hii page ni kwaajiri ya ushauri na stori mbali mbali za maisha yanayo tuzunguka.

21/12/2024

Mwaka unaenda kuisha
Tuangalir tulipokosea mwakani
Tujipange upya ili tufikie malengo.

05/11/2024

Maisha ni kupambana
Tuongeze tu bidii na kujituma katika utafutaji was ridhiki za Kila siku.
Kikubwa ufanye jambo halali tu kisheria

08/10/2024

🥀Maisha ni mafupi sana rizika na ulichonacho furahia maisha yako.
🥀Uhai ni zawadi kubwa maishani.

03/10/2024

Kumbuka kuomba mungu kila cku unapolala na uamkapo ni muhimu maombi kila wakati ni muhimu hata k**a Una mambo mengi na unachoka mkumbuke muumba wako.

03/10/2024

maisha ni kuchagua kikubwa no kuchagua furaha.

03/10/2024

Uvumilivu ukikushinda achia ngazi mambo mengine sio ya kuvumilia katika mahusiano.

💔Ivi kuna umuhimu wa kuchepuka kwanini msikae na kumaliza tofauti zenu k**a unaona kuna kitu hakipo sawa kwa mwenzio mwa...
09/06/2024

💔Ivi kuna umuhimu wa kuchepuka kwanini msikae na kumaliza tofauti zenu k**a unaona kuna kitu hakipo sawa kwa mwenzio mwambie ili kurekebisha mambo kuchepuka kunavunja ndoa maana upendo unapotea kati yenu.

Jaman maisha haya kuna mda unatamani hata urudi utotoni ufanyiwe kila kitu ila inashindikana.nikiwaza nilivopata shinda ...
18/03/2024

Jaman maisha haya kuna mda unatamani hata urudi utotoni ufanyiwe kila kitu ila inashindikana.
nikiwaza nilivopata shinda kumwachisha mtoto wangu kunyonya kitu ambacho kakizoea kila siku inakua ngumu sana unapitia karibia week mzima kufanikisha kumwachisha.
Lakini kuna watu wanapitia magumu wanashindwa kufanya maamuzi sababu tu ya mazoea jaman k**a mtoto anaacha kunyonya alikozoea mda mrefu.
kwanini wewe ushinde kuacha mazoea ukae na mateso,maumivu,na majuto maishani mwako.
Badili mtazamo wako kila mtu kaubwa na mungu kwa namna ya pekee pambania maisha yako hakuna wakukupambania wewe.
Mungu ametuumba tufurahie haya maisha na sio kuteseka usikubali kuteseka jipambanie wewe mwenyewe.
-tufanye-mabadiliko.
Je kuna mtu anapenda aishi bila furaha maishani? nazani kila mtu ana jibu lake.

Address

Mapumulo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtaa wa ushauri na story posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share