IK MZIKI

IK MZIKI IK MZIKI KISIMA CHA BURUDANI
(1)

02/09/2026

Katika hali ya Sintofahamu Leo Msanii wa Singeli Maarufu k**a Dege Mc Ameshambuliwa na Raia Wenye Hasira Kali kwa tuhuma za wizi.

Bado Haijafamika Kwaundani Zaidi Ilikuwa kuwaje Endelea Kuwa nasi tutakujuza

01/09/2026

Canal W**d Naye Mkali....Balaaa Zito Linakuja Zaidi kwenye Ep Yake Kaaa Tayari!!!!

19/08/2026

Jongfox Naye Mkali Γ—Siku zote πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Leo, 11 Agosti, tunampongeza DJ Kilapo, DJ na Producer anayehusishwa na muziki wa Singeli, anayetimiza siku yake ya kuza...
11/08/2026

Leo, 11 Agosti, tunampongeza DJ Kilapo, DJ na Producer anayehusishwa na muziki wa Singeli, anayetimiza siku yake ya kuzaliwa.

Safari yake katika muziki imekuwa sehemu ya ukuaji wa muziki wa Singeli, akiwa katika nafasi ya DJ na producer anayeshiriki katika kutengeneza na kusukuma sauti ya muziki huu unaopendwa na mashabiki wengi nchini Tanzania.

Siku yake ya kuzaliwa ni nafasi ya kutambua mchango wake katika tasnia na kumtakia afya, maisha marefu, ubunifu zaidi na mafanikio makubwa katika kazi yake ya muziki.

Happy Birthday DJ Kilapo.

Endelea kuupa muziki wako nguvu na kuacha alama kwenye historia ya Singeli.

πŸ• Usikose taarifa, nukuu na habari mbalimbali kutoka kwenye ulimwengu wa muziki kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

β€œKila kitu kina muda wake, huwezi kulazimisha mafanikio.”— Alikiba, katika mahojiano kuhusu safari yake ya muziki.Alikib...
05/08/2026

β€œKila kitu kina muda wake, huwezi kulazimisha mafanikio.”
β€” Alikiba, katika mahojiano kuhusu safari yake ya muziki.

Alikiba amekuwa akionyesha kupitia safari yake kuwa mafanikio yanahitaji subira. Kuna nyakati ambazo mambo hayaendi k**a ulivyopanga, lakini hiyo haimaanishi ndoto zako zimekufa. Ukiendelea kujifunza, kufanya kazi na kusubiri muda sahihi, matokeo mazuri yataonekana. Usiwe na haraka ya kulinganisha maisha yako na ya wengine, kila mtu ana safari yake.

πŸ• Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.



ALIKIBA

24/07/2026

Hii Kazi Mpya Kutoka kwa Msanii wa Singeli tiny Boy akiwa na Holiday kazi inaitwa Kiingereza Unaweza ipata Kupitia ikmziki.

Leo ni siku maalum kwa staa wa muziki wa Singeli nchini, Kapaso BKP, anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa.Timu ya IK MZ...
14/07/2026

Leo ni siku maalum kwa staa wa muziki wa Singeli nchini, Kapaso BKP, anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Timu ya IK MZIKI tunamtakia heri ya siku ya kuzaliwa, afya njema, mafanikio makubwa na baraka tele katika maisha na safari yake ya muziki. Tunamtakia azidi kutoa kazi nzuri na kuendelea kuipeperusha bendera ya Singeli Tanzania.

Tuungane wote kumtakia Kapaso BKP heri ya kuzaliwa kwenye comments, na usisahau kuendelea kufuatilia IK MZIKI kwa habari zote za muziki na burudani.

Kwa Taarifa za Burudani na Ngoma Mpya Tafazali Usiche Kutembelea
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
WWW.IKMZIKI.COM

Pia Kupata Taarifa za Hivi punde Jiunge na WhatsApp Chaneli Yetu
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F

Address

Dar Es Salaam
0001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IK MZIKI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share