Baragumu La Habari

Baragumu La Habari Hii ni channeli ya kusambaza habari k**a zinavyochipuka

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
29/12/2024

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

WADHIFA ULIOWAHI KUSHIKILIWA NA KAMOTHO WAVUTIA WENGIhttps://baragumulahabari.blogspot.com/2022/06/wadhifa-uliowahi-kuwa...
05/06/2022

WADHIFA ULIOWAHI KUSHIKILIWA NA KAMOTHO WAVUTIA WENGI

https://baragumulahabari.blogspot.com/2022/06/wadhifa-uliowahi-kuwa-wa-kamotho.html

WADHIFA ULIOWAHI KUWA WA KAMOTHO WAVUTIA WENGI KWENYE UCHAGUZI June 05, 2022   Bunge la Mathioya lililowahi kushikiliwa na Waziri wa zamani Bw JJ Kamotho ni eneo lillilo na wawaniaji wengi walioapa kutafuta kiti hicho kwa udi na uvumba.Mathioya kuna wadi tatu ambazo ni Kiru, Kamacharia na Gitugi.W...

https://youtu.be/fQw1LxiiwPU
11/04/2022

https://youtu.be/fQw1LxiiwPU

Residents of Maragua are facing acute water shortage, as a result of prolonged drought season. Wells are drying as well as the dropped levels of water in Mar...

22/03/2022

MOSES KURIA SPEAKING IN MURANG’A LAST SUNDAY

20/03/2022

Ruto akana kwamba yeye hutoa fedha. Asema sheria imekataa

Kumekuwa na hali ya taharuki katika kijiji cha Kabati katika kaunti ya Murang'a, baada ya hali ya sintofahamu kuibuka ku...
06/01/2022

Kumekuwa na hali ya taharuki katika kijiji cha Kabati katika kaunti ya Murang'a, baada ya hali ya sintofahamu kuibuka kuhusu mazishi ya mmoja wao aliyeaga dunia. Asubuhi hii kumetokea kisanga,baada ya mwanamume mmoja aliyekuwa na wake takribani 2 kuaga dunia na kuacha mgogoro wa ni wapi anafaa kuzikwa marehemu. Familia moja,tayari ilikwisha kutayarisha maazishi na kupata kibali cha kumzika marehemu na wakamzika hapo jana huko kwao nyumbani Kabati....

https://murangaprimetime.wordpress.com/2022/01/06/mshtuko-familia-ikipata-maiti-waliyotaka-kuizika-tayari-ilizikwa-janakabati/

Kumekuwa na hali ya taharuki katika kijiji cha Kabati katika kaunti ya Murang’a, baada ya hali ya sintofahamu kuibuka kuhusu mazishi ya mmoja wao aliyeaga dunia. Asubuhi hii kumetokea kisanga…

Address

Murang'a

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baragumu La Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Baragumu La Habari:

Share