CPN

CPN π˜Ώπ™€π™£'𝙩 𝙅π™ͺ𝙨𝙩 π™’π™–π™©π™˜π™ π™‹π™€π™‘π™žπ™©π™žπ™˜π™¨. π™π™£π™™π™šπ™§π™¨π™©π™–π™£π™™ 𝙄𝙩.

05/09/2026

President Ruto: Niliskia Sifuna akisema barabara na affordable housing ni shiny things. Nataka kuwaambia hawa watu wa Linda Uhuru: please tafuteni agenda, acha kutusumbua na maneno ya matusi na slogans.

05/09/2026

"Nimesikia Kindiki akisema kwamba Kalonzo amekuwa kiongozi kwa miaka hamsini na hakujenga barabara za lami. Wewe achana na Kalonzo, yuko katika kiwango cha juu sana. Huwezi kujibizana naye kwa kuwa wewe hukuchaguliwa. Huwezi kujibizana hata na MCA, kwani yeye amechaguliwa."

05/09/2026

FAROUK KIBET: "Gachagua alikosa mzungu wa kumnyoa huko America mpaka tumeona akipigwa picha akinyolewa na bibi yake? Hiyo ni aibu, sio aibu?

05/09/2026

Rigathi Gachagua arrives in Spokane, Washington State, to engage with Kenyans living in the USA.

04/09/2026

Affordable Housing is being erected on public land. Do not waste your money. Kitakuramba

04/09/2026

MURKOMEN: β€œTribalists like Gachagua are trying to demean IG Kanja by calling him a flower girl. We will continue supporting NPS from external attacks.

04/09/2026

PAULINE NJOROGE: β€œWhy is president sworn in with Constitution and not with his manifesto?

04/09/2026

MP Peter Kaluma: I want to request Babu Owino and James Orengo: please don’t sell Gachagua in Luo land. Some lines have now been drawn. You can go if you want to go, but leave our people united

04/09/2026

Rigathi Gachagua ally, Kirinyaga Senator Kamau Murango, receives a chopper as he gears up for the 2027 political battle.

04/09/2026

CHERUIYOT: "Assistant Chief tribalist, Mr Ndindi Nyoro, what did you say again? That NHIF had a higher monthly collection than SHA? Like seriously!

Address

00100
Nairobi
00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CPN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share