The Bluez

The Bluez HABARI ZOTE ZA CHELSEA KWA LUGHA YA KISWAHILI. []

|Follow Us|โœ“
(2)

๐Ÿšจ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Mark van Bommel kuhusu Romeo Lavia kuanza dhidi ya Uturuki:๐ŸŽ™๏ธ โ€œRomeo aliingia k**a mchezaji wa akiba dhidi ya Italia...
02/10/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Mark van Bommel kuhusu Romeo Lavia kuanza dhidi ya Uturuki:

๐ŸŽ™๏ธ โ€œRomeo aliingia k**a mchezaji wa akiba dhidi ya Italia na akacheza dakika 85 dhidi ya Ufaransa. Alifanya kazi nzuri sana.โ€

๐Ÿ—ฃ๏ธ โ€œTayari unaweza kudhani kwamba hatamki katika kikosi cha kwanza. Chelsea inakuwa makini naye, na sisi pia. Tunataka kutumia uwezo wake kwa namna bora zaidi.โ€

*CHUKUWA HII*Hii attack ndio ilileta UEFA ya pili Chelsea na bahati hakuna hata mmoja ambae ana heshima kubwa Chelsea.We...
02/10/2026

*CHUKUWA HII*

Hii attack ndio ilileta UEFA ya pili Chelsea na bahati hakuna hata mmoja ambae ana heshima kubwa Chelsea.

Werner alioambana sana na TATIZO lake lilikuwa sawa nala Jackson kukosa sana nafasi na zaidi kufunga na goal ya offside.

mason mount alikuwa ametabiriwa makubwa aana Stamford bridge ila aliondoka na hakuna heshima yeyote aliacha.

kai haverts alikuwa mchezaji mzuri japo lege lege ila alisaidia kupatikana mabao mhimu ikiwemo goli pekee la UEFA.

JE HAWA WACHEZAJI UNAHISI WANAEZA INGIA KWA KIKOSI CHA KWANZA KWA KIKOSI CHETU?

JE UKIPEWA NAFASI YA KURUDISHA MCHEZAJI MMOJA TENA UTARUDISHA NANI?

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆMRADI WA UJENZI WA UWANJA WA CHELSEA WAZIDI KUPIGA HATUA!Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari Liam Twomey ameripoti ...
30/09/2026

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA CHELSEA WAZIDI KUPIGA HATUA!

Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari Liam Twomey ameripoti kwamba; Chelsea inaendelea kusonga mbele na mpango wake wa muda mrefu kuhusu uwanja, huku klabu ikianza kuelekeza nguvu zaidi kwenye masuala ya miundombinu.

Mipango ya mustakabali wa Stamford Bridge inaonekana kuingia hatua nyingine muhimu, huku uwezekano wa kuanza kwa ukurasa mpya wa uwanja wa Chelsea ukizidi kuwa karibu.

Stamford Bridge mpya inaweza kuwa sehemu nyingine ya sura mpya ya Chelsea.

The Bluez

๐Ÿšจ๐Ÿšจ Breaking news ๐Ÿšจ๐ŸšจPALESTRA na EMEGHA ๐Ÿ’™ wako FITI TAYAR kucheza game yao ya Kwanza.WACHEZAJI WOTE HAWA HAWAJACHEZA MECHI...
30/09/2026

๐Ÿšจ๐Ÿšจ Breaking news ๐Ÿšจ๐Ÿšจ

PALESTRA na EMEGHA ๐Ÿ’™ wako FITI TAYAR kucheza game yao ya Kwanza.

WACHEZAJI WOTE HAWA HAWAJACHEZA MECHI YA USHINDANI

๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—œ๐—œ;NI MCHEZAJI GANI WA CHELSEA UNAYEMPENDA ZAIDI ALIYEWAHI KUVAA NAMBA 10?Chelsea imewahi kuwa na wachezaji weng...
29/09/2026

๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—œ๐—œ;

NI MCHEZAJI GANI WA CHELSEA UNAYEMPENDA ZAIDI ALIYEWAHI KUVAA NAMBA 10?

Chelsea imewahi kuwa na wachezaji wengi wakubwa waliovaa jezi namba 10 na kuacha alama kubwa.

๐ŸŽฏ ๐—˜๐—ฑ๐—ฒ๐—ป ๐—›๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ
๐ŸŽฏ ๐—๐˜‚๐—ฎ๐—ป ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ
๐ŸŽฏ ๐—๐—ผ๐—ฒ ๐—–๐—ผ๐—น๐—ฒ
๐ŸŽฏ ๐—–๐—ผ๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฒ๐—ฟ
๐ŸŽฏ ๐—ช๐—ถ๐—น๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป
๐ŸŽฏ ๐—–๐—ต๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜๐—ถ๐—ฎ๐—ป ๐—ฃ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ถ๐—ฐ
๐ŸŽฏ ๐—ฌ๐—ผ๐˜€๐˜€๐—ถ ๐—•๐—ฒ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐—ป
๐ŸŽฏ ๐— ๐˜†๐—ธ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ผ ๐— ๐˜‚๐—ฑ๐—ฟ๐˜†๐—ฐ๐—ธ

Lakini kwako, nani ni bora zaidi?

๐Ÿ‘‡ Taja jina lako na utuambie kwa nini unamchagua!

The Bluez

๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—œ๐—œ;Kwa wale waloangalia game ya Ubelgiji dhidi ya Ufaransa... vipi kiwango cha LAVIA?The Bluez
29/09/2026

๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—œ๐—œ;

Kwa wale waloangalia game ya Ubelgiji dhidi ya Ufaransa... vipi kiwango cha LAVIA?

The Bluez

๐Ÿšจ๐Ÿ”ต CESC FABREGAS ANA KIPENGELE MAALUM KWENYE MKATABA WAKE!๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari Gianluca Di Marzio amerip...
29/09/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ”ต CESC FABREGAS ANA KIPENGELE MAALUM KWENYE MKATABA WAKE!

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari Gianluca Di Marzio ameripoti kwamba; Cesc Fabregas mwenye umri wa miaka 39 ambaye kwa sasa yuko chini ya mkataba wa miaka miwili na Como, ana kipengele maalum kinachomruhusu kujiunga na:

๐Ÿ”ต Chelsea
๐Ÿ”ด Barcelona
๐Ÿ”ด Arsenal

โ€ฆwakati wowote endapo moja ya klabu hizo itawasilisha ofa.

Pia, bei yake inaweza kuwa kubwa zaidi iwapo klabu nyingine tofauti na hizo tatu itaonyesha interest ya kumsajili.

Fabregas aliwahi kuichezea Chelsea na Barcelona, akishinda mataji makubwa akiwa na klabu hizo mbili.

Akiwa Arsenal, alishinda FA Cup na Community Shield.

๐Ÿ‘€SWALI KWA MAFANS WA CHELSEA:

K**a nafasi ingepatikana, ungependa kumuona Fabregas akirejea Chelsea kwa nafasi ya kocha ?

The Bluez

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ๐—ฅ๐—ข๐— ๐—˜๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐—ฉ๐—œ๐—”: โ€œNI FAHARI KUPATA NAFASI YA KUANZA TENAโ€๐Ÿ—ฃ๏ธ Romรฉo Lavia baada ya gemu ya Ubelgiji na Ufaransa:"Ni jam...
29/09/2026

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

๐—ฅ๐—ข๐— ๐—˜๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐—ฉ๐—œ๐—”: โ€œNI FAHARI KUPATA NAFASI YA KUANZA TENAโ€

๐Ÿ—ฃ๏ธ Romรฉo Lavia baada ya gemu ya Ubelgiji na Ufaransa:

"Ni jambo la kujivunia kuanza mechi baada ya muda mrefu. K**a sikosei, mara ya mwisho kuitwa kwenye kikosi cha taifa ilikuwa miaka 3 au 4 iliyopita."

"Kwa bahati mbaya, hatukuweza kupata pointi tatu. Nilifanya baadhi ya mambo vizuri, lakini sipendi kuzungumzia sana kuhusu kiwango changu wakati matokeo hayajaenda upande wetu. K**a pointi tatu hazipo, basi hakuna maana."

Mentality ya Lavia inaonekana wazi:
Anathamini nafasi aliyopata, lakini kwake matokeo ya timu ni muhimu zaidi kuliko kiwango chake binafsi.

Chelsea tunaweza kufaidika sana k**a Lavia ataendelea kupata utimamu na consistency baada ya kipindi kirefu cha changamoto za majeraha.

The Bluez

๐Ÿšจ๐ŸšจZIMWI LA MAJERAHA LINAKUJA KWA KASI๐Ÿšจ๐ŸšจGITTEN ameingia kwenye orodha ya wachezaji webye majeraha baada ya kuumia akitumi...
28/09/2026

๐Ÿšจ๐ŸšจZIMWI LA MAJERAHA LINAKUJA KWA KASI๐Ÿšจ๐Ÿšจ

GITTEN ameingia kwenye orodha ya wachezaji webye majeraha baada ya kuumia akitumikia timu ya taifa ambapo MCHEZO huo uliisha kwa ushindi wa 4-2.

HABARI NJEMA ni kuwa asilimia 80 wanarudi baada ya mechi za kitaifa.

JE HAWA WOTE WAKIRUDI, UNAHISI CHELSEA INAEZA KUWA NA SHIDA YA ENEO FULANI?

๐Ÿšจ๐ŸšจBREAKING NEWS ๐Ÿšจ๐ŸšจEMEGHA anaendelea kujieka fiti akitaka kurudi baada ya mechi za kimataifa.EMEGHA bado anapambana akita...
27/09/2026

๐Ÿšจ๐ŸšจBREAKING NEWS ๐Ÿšจ๐Ÿšจ

EMEGHA anaendelea kujieka fiti akitaka kurudi baada ya mechi za kimataifa.

EMEGHA bado anapambana akitaka kucheza game yake ya kwanza akiwa na U*i wa Chelsea.

JE HUYU ATAONGEZA KITU KATIKA SAFU YETU YA USHAMBULIAJI?

Address

Moshi
Kilimanjaro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Bluez posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share