09/05/2026
Tito lazima arudi kwa mkewe. Juhudi za kupatanisha Leila na Sam nazo zagonga mwamba. Huu ndio mwanzo wa kutengana?
Tazama tamthilia ya SHARI leo usiku katika runinga uipemdayo Umbrella television-utv saa mbili usiku.
DEEMZ MEDIA